Pr.Abdallah Safari SIIMSIKII | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pr.Abdallah Safari SIIMSIKII

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kidonge ki1, Apr 3, 2012.

 1. k

  kidonge ki1 Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jamv kwanza nawasalim aman ya mungu wetu iwe juu yenu,hivi Pr.Abdallah mbona kama kitambo sikumsikia mwenye habari kuhusu yeye na nafasi aliyonayo ndani ya CDM naomba an fafanunulie n sehem ya kujua pia usichokijua JF
   
 2. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  We vipi? Andika hivi( Mungu au MUNGU). Just point of usahihi. Swali lakini. Tuna haja ya kumsikia kila mtu? Unalenga nini hasa.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hatakiwi anatengeneza tu balance fulani ili chama chetu kisionekane ni cha udini...by the way anatakiwa kubeba mabegi ya maboss wake kama alivyofanya kawawa kwa nyerinyeri
   
 4. k

  kidonge ki1 Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani hamkunijibu TROPICAL n MPUI,na badala yake n kashfa dhid ya Pr.Abdallah unaposema yeye n mbebaji wa mabeg ya mabosi,na ukumbuke Abdallah ni Prof.na n mtu mwenye uwelewa mkubwa hvyo usimgeuze kama TOY kwa jinsi TROPICAL uwezo wako wakufikir ulipofikia,,wanajamv mwenye kuelewa achangie na wenye kashfa watulie,hapa ni sehem ya kujuzwa pia
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Si utaona mkuu ataishia kubeba mabegi ya maboss wake kama kawawa kwa nyerinyeri; that is maximum they can offer him..akitaka kufurukuta atapewa yale majina yetu (mamluki, mdini, mnafiki etc) ili mradi asiseme abaki msaidizi; siyo yeye tu hata Zitto maximum they can offer ni Naibu katibu mkuu; zaidi ya hapo anahatarisha uanachama wake kwenye chama chetu..
   
 6. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Sema usikike dogo
   
 7. M

  MamG Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Acheni kashfa. Yupo active anafanya kazi km kawaida na anapewa heshima ya sana cdm. Kitu mlichosahau ni kwamba yule ni mwanasheria mambo anayoyafanya yeye kny chama ni ya umuhimu sana. Mbona Mabele Marandu hasikiki hivyo na hamsemi kitu. Au mnawajua wanacdm wote? Tunaowasikia ni wachache kutokana na nafasi zao, wengi hatuwajui na ni muhimu sana. Siasa sio ushabiki tu.
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Chadema huwa haipendi watu kama prof safari,zitto mwenyewe wanaishi nae kwa tabu tabu
   
 9. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nyie sikieni ushindi tu ndio mjue Prof safari yuko wapi ,unafikiri ni kupayuka payuka
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Leo na jana face book page za wachagga zote zinazungumzia ushindi wa arumeru,hiki chama hiki,tikitazame kwa jicho la tahadhari sana,hebu jaribuni kusearch fb page za kina masawe,siraki,lyimo,urio n.k mtaona
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Alipokuwa CUF alikuwa anasikika?
  Ama alisikika pale tu Maalim na Lipumba walipomchakachua pale alipotaka kuwaondolea tonge mdomoni
   
 12. Imany John

  Imany John Verified User

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Kuna jamii inasifika sana kwa kulalamika naisi unatoka huko katika ukoo huo.
   
 13. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280

  Mustapha Akoonay umewahi kumsikia?
   
 14. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwisha habari yake... KWISHNEY
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280

  CUF naona roho inataka kuwatoka kwa Prof. wa ukweli Safari Abdallah kuwa CHADEMA. Mtakufa nacho. CUF imekuwa kama TLP
   
 16. L

  LEYANA LESINDAMU Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana body naomba munijuze huyu kamanda wetu PROF Safari yuko wapi kwani hasikiki kabisa. nawasilisha jamvini.
   
 17. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwasasa hv Prof.Safari yupo reserve akijipanga..,chadema kwa sasa hv wana vichwa vingi sana hawawezi kuwaweka wote uwanjani ni sawa sawa na timu ya mpira unapokuwa na wachezaji bora watupu ni lazima ujipange vizuri katika kuwatumia..,subirini mapigo yake..,anajipanga
   
 18. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Sasa kama nyie CDM nia yenu ni mtu wa kaskazini a.k.a "weusi" kuchukua nchi si mngebaki CCM mana nchi anaichukua Mzee wa shule za kata. Ndo nini kumdhalilisha Prof wa watu kwa kumpa ujumbe tu???
   
Loading...