Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Training Opportunities Jun 18 - Jun 29 Sustainable Microenterprise and Development Program (SMDP) Certificate Date: 18 June – 29 June 2012 Location: New Hampshire, USA Fee: $4,250...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naweza thubutu kusema ivo kwa maana tumezoea tuuu kupiga debe bungeni ukianzia kwa wabunge wetu, ukija uku kwenye JF ndo kabisa full kuongea but no action. watu wanajifanya wanajazba sana at the...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
nataarifa zisizo rasmi kuwa mheshimiwa dr ws atakuwa babati kesho na atafanya mkutano wa hadhara naomba mtu anijuze ukweli wa taarifa hii kwani niko njiani nantapita babati kesho asubuhi kama vipi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa watumiaji wa barabara uhususani Kilwa rd, Chang'ombe na msimbazi kuna askari traffic na wazimamoto wanasimamisha magari madai yao wanakagua fire extinguisher na sticker za fire. Sticker...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A group of naked women has stormed Central Police station (CPS) on Monday morning protesting the way the police squeezed the breasts of Forum for Democratic Change female leader Ingrid Turinawe...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanafunzi wa chuo cha elimu Mkwawa Iringa hivi sasa wameziba barabara kuu ya Iringa -Pawaga barabara inayosimamiwa na wakala wa barabara mkoa wa Iringa (TANROADs) wakishinikiza kuwekwa matuta...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba tubadilishe jina badala ya kuitwa mwananchi uitwe mwenye nchi ili kuwepo uhalali wa kila mmoja wetu kuwa na uchungu kwani pesa yako ktk kodi ndio inayotumika kuiendesha nchi na...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
baada ya chadema kushindwa kuvuna wanachama wa ccm wilayani sengerema,katibu mkuu wa chadema dk wilbroad slaa amewatimua viongozi 33 na kuvunja kamati ya utendaji ya chama hicho wilayani...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
:smile:Ndg zangu naomba mnisaidie kujua mahari ilipo hii nchi inayojulikana kama TANZANIA BARA.Ninaomba kama yuko mtu anaye ijua nchi hii anisaidie kwa kunijibu maswali kadhaa yafuatayo 1:Nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Mkanganyiko ni mkubwa. Hatuamini. Nafuatilia mitandao na vyanzo mbamlimbali vya habari, mazungumzo makubwa ni utata na mkanganyiko wa taarifa ya ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
762 Views
kwanza nitangulize pongezi kwa kutuhabarisha kwa mengi yanayokuwa yanaendelea hapa ulimwenguni. Hongeleni kwa hilo.....! Swali langu ni kwanini habari zinazowahusu wanamichezo ambazo si za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kumbukumbu zangu ni mara kadhaa waziri mkuu ametuahidi vitu na anakuja kufanya tofauti na ahadi yake,kama alivyofanya wakati wa mgomo wa madaktari ndivyo ametufanyia hata sasa,bila shaka...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Hajaeleza lolote la matatizo yetu wanakalenga, naona ni kati ya wabunge mzigo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salam Tanzania, salam wanaJF, NDUGU zetu za Zanzibar, mwaupenda muungano kweli?mbona Muungano huu unawajali sna na kuwapa vipaumbele vingi ila bado wengi wenu hamridhiki? Sie hatuna serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Matukio mengi serikalini yanadhihirisha waziwazi udhaifu mkubwa wa uongozi wa JK. Nitajaribu kuelezea kidogo: Kwanza uongozi wa nchi ni kama kitambaa cheupe ukutani. Wananchi wanakiangalia wakati...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Salma Said, KESI ya watu 12 wanaopinga Muungano jana imesomwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar huku baadhi ya watu kadhaa wakiwa wamefurika katika Mahakama hiyo...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Assuming that the theory of evolution is true, how is it that apes still exist? Did they choose not to evolve? I am not dismissing the theory just curious as to why they (apes, chimps, etc.)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kilio cha wanaTandahimba kimesikika, wakulima wameanza kulipwa pesa zao jana. source mimi mwenyewe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This country bwana is very nice!..........if you don't believe this then you have PROBLEMS.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…