Hii ni MALUMU KWA WAZANZIBARI TUU

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Salam Tanzania, salam wanaJF, NDUGU zetu za Zanzibar, mwaupenda muungano kweli?mbona Muungano huu unawajali sna na kuwapa vipaumbele vingi ila bado wengi wenu hamridhiki? Sie hatuna serikali ya Tanganyika nyie mnaserikali ya Mapinduzi...huduma mwazipata tena kwa mgao wa juu, kazi usiseme tena mwalalamika? jamani embu tpeni sababu..vikwazo ni vingi kuliko faida au? kwa vipi?



Naombeni jibu Tafadhali
 
Back
Top Bottom