Hajaeleza lolote la matatizo yetu wanakalenga, naona ni kati ya wabunge mzigo.
Mbona wakati anahitimisha maliza vizuri. Kwa ujumla speach yake ni nzuri. Kama rais atafanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri aweza kuwa waziri.
...Kwangu mie, Mgimwa ni miongoni mwa Wabunge makini waliopo Bungeni kwa sasa,otherwise uchaguzi wa kumteua Mwakilishi wa Wana Kalenga 2015 upo mikononi mwa WanaKalenga, lakini ONYO, msijemkamtoa mtu makini kama Mgimwa alafu mkatuletea Lusinde type...
Huna mamlaka ya kutoa onyo hapa wala kuwachagulia wana wa Kalenga mbunge wanaye mtaka.Kwa taarifa yako 2015 ni uchaguzi wa kwanza wa mbunge wa kalenga kwani wana kalenga wamechoka kuchagua wastaafu[wazee]wanao ona ubunge ni kazi ya baada kustaafu badala ya kutumia active brain age[24-60 yrs].
nimemuazima jimbo kwa muda, come 2015 naenda chukua jimbo.hakuna kulala mpaka kieleweke.Hakuna zoba kama Mgimwa,speech yake ya leo imejaa unafiki,anazungumzia leadership accountability wakati hakusaini azimio la uwajibikaji,halafu apewe uwaziri? SI YALEYALE.ANY WAY 2015 NI MWISHO WAKE.