Kwa nini watanzani tunaongopewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini watanzani tunaongopewa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by REMSA, Apr 24, 2012.

 1. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa kumbukumbu zangu ni mara kadhaa waziri mkuu ametuahidi vitu na anakuja kufanya
  tofauti na ahadi yake,kama alivyofanya wakati wa mgomo wa madaktari ndivyo ametufanyia
  hata sasa,bila shaka watanzania wengi jana jioni walikaa kwenye radio na televisheni,kutaka
  kusikia waziri mkuu atasema nini kuhusu mawaziri mafisadi kama walivyokuwa wametuahidi,
  lakini kinyume na matarajio ya watanzania wengi,hakutaka kuongelea juu ya hilo.

  Je Watanzania ni kweli tuendelee kukaa kimya na kuongopewa?
   
Loading...