Barabarani wameongezeka wasumbufu wengine - Fire | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabarani wameongezeka wasumbufu wengine - Fire

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Songambele, Apr 24, 2012.

 1. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Kwa watumiaji wa barabara uhususani Kilwa rd, Chang'ombe na msimbazi kuna askari traffic na wazimamoto wanasimamisha magari madai yao wanakagua fire extinguisher na sticker za fire. Sticker wanauza elfu tano na risiti unapata fire extinguisher wanauza 30,000. Kukuandaa wanakupa case ya hujakaguliwa, fire extinguisher ime expire, powder au gas sio appropriate na wanaanza kukuandikia kama ilivyo ada kitu kidogo wanavuta.

  Kiukweli mie siwakubali kabisa hawa watu sababu sioni any value wanayoutuongezea zaidi ya usumbufu na kutengeneza mazingira ya rushwa. Ukinyosha hawakufanyi kitu, kama kuna namna mtusaidie kuondoa usumbufu huu ili tuwe na mazingira mazuri ya kufanya biashara.
   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Mwalimu alisema, "Serikali isiyokusanya kodi anabaki kufukuzana na watu mitaani". Ukiona hivyo Baba mwanaAsha anakusanya nauli ya kumpleka USA.

  Utadhani Mkapa alikuwa anambania sana kuzurura akiwa mambo ya nje na sasa ndo kafungulia.
   
Loading...