Wanahabari naomba ufafanuzi ktk jambo hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanahabari naomba ufafanuzi ktk jambo hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EL MAGNIFICAL, Apr 23, 2012.

 1. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwanza nitangulize pongezi kwa kutuhabarisha kwa mengi yanayokuwa yanaendelea hapa ulimwenguni.
  Hongeleni kwa hilo.....!
  Swali langu ni kwanini habari zinazowahusu wanamichezo ambazo si za kimichezo mfano kifo na kesi huwa mnatuhabarisha ktk taarifa za michezo !
  Kwanini huwa haziwekwi kwenye habari za kitaifa tu !
  Kuna uhusiano gani wa taarifa izo na michezo ile hali si mchezo na wakati mwingine ni za kusikitisha !
  Nitangulize shukurani zangu za dhati kwa utayeshiriki.
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wasubiri PASCO,Byabato,Katulanda,halihalisi nk miongoni mwa waandishi ninaowajua humu JF
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nashukulu mkuu.
   
Loading...