Watanzania ni kama wapiga debe wa daladala tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania ni kama wapiga debe wa daladala tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KML, Apr 24, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naweza thubutu kusema ivo kwa maana tumezoea tuuu kupiga debe bungeni ukianzia kwa wabunge wetu, ukija uku kwenye JF ndo kabisa full kuongea but no action. watu wanajifanya wanajazba sana at the end NOTHING..tumekuwa kama mateja wa vituo vya daladala unapiga debe asubuhi ikifka jioni unaenda kulala. Hivi nani humu kati ya wote wanaoandika kwa jazba amewahi kufanya action yoyote kati ya yale anayoandika??

  Mwacheeni aliyesema huu ni kama upepo tu utapita na yataisha, kila mtu ale kwa kadri ya urefu kamba yake basi.

  Mi nafikili kuing'oa CHICHIEMU tutasubilisana kama tunavosubili JESUS kuludi
   
 2. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,136
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  kitufe cha like kiko wap jamani?kwel tumekuwa wapiga debe tunahamasisha wengine wapande magar wakati sisi tunabaki kituoni
   
 3. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu umenichanganya kidogo, tusiandike tena humu JF au tufanyeje. Fatilia mikutano ya cdm unaweza ukajua kunamwamko kiasi gani. Hatuwezi kushika bunduki ndo ujue tumeguswa na yanayoendelea, tutapiga kura na kuzilinda. Naamini tutashinda, kuandamana tunajua umuhimu wake, so long as tunaruhusiwa kikatiba kama njia ya kueleza hisia zetu. Na usijali yananukia ya taharir, sijui yataanzia Arusha au Mbeya, tusubiri. Usilete kashfa kwa watanzania kwa ujumla wao, hii kashfa wahusika ni wanachama wote wa MAGAMBA.
   
 4. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mwisho wao upo tu
   
 5. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,136
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  lini mkuu?kw7 siku zinazidi kusonga tu na wao ndivyo wanavyoongeza jitihada za kuitafuna ii nchi usiku na mchana.
   
 6. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  We kwa sasa unataka tufanye nini?????????????????/
   
Loading...