Nani anajua kuhusu tanzania bara?

ibra919

Member
Apr 16, 2012
23
6
:smile:Ndg zangu naomba mnisaidie kujua mahari ilipo hii nchi inayojulikana kama TANZANIA BARA.Ninaomba kama yuko mtu anaye ijua nchi hii anisaidie kwa kunijibu maswali kadhaa yafuatayo

1:Nchi hii ya TANZANIA BARA iko BARA gani hapa duniani.

2:hii TANZANIA BARA je iliwahi kuwa chini ya koloni lolote na kama iliwahi ilikuwa chini ya koloni gani?

3:Nchi hii ya TANZANIA BARA ilipata uhuru wake kutoka kwa hilo koloni? au bado? na kama ilipata uhuru wake kutoka kwa hilo koloni ilikuwa lini, mwezi gani, na mwaka gani.Naomba msinibeze ndugu zanguni nia yangu nataka kujifunza kutoka kwenu mnao ijua nchi hii maana nina shauku ya kuitembelea pindi nikijua iliko maana nasikia mengi kuhusu nchi hii.

ASANTENI SANA.
 
Back
Top Bottom