muislamsafi
Member
- Jan 25, 2012
- 78
- 20
nataarifa zisizo rasmi kuwa mheshimiwa dr ws atakuwa babati kesho na atafanya mkutano wa hadhara naomba mtu anijuze ukweli wa taarifa hii kwani niko njiani nantapita babati kesho asubuhi kama vipi japonilale angalau sikumoja babati nipate maneno ya busara kutoka kwa dock wa ukweli
ORIGINAL
by muislamsafi
ORIGINAL
by muislamsafi