Kumekuwepo na tetesi hivi punde kwamba mkuu wa idara ya utawala wa umma na sayansi ya siasa, UDSM..dr B.Bana yupo ktka baraza jipya la mawaziri ila cjajua ktengo gani...source mi mwenyewe!
Badala ya jeshi la polisi kuchunguza sababu na wahusika wa mauaji ya kinyama kwa wananchi kama mwenyekiti wa chadema usa river,wabunge kule mwanza yanayoendelea kutokea wao wanafanya uchunguzi wa...
Leading story ya leo eti wanafunzi vyuo vikuu na maudhui ya kumpongeza JK wakati jana Nape aliwachukua wanafunzi wa chuo cha mapishi cha Datastar na kuwapa buku kumi.hawafiki hata 15..imekaaje?
Wakuu siku si nyingi nimepita njia hii Dar-Tunduma,eneo la Kitonga vibao vyote vya alama za barabarani vilivyokuwa vinaonyesha na kuhadharisha hali ya barabara kama,kona kali nk vimeondolewa/ibwa...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema awamu ya kwanza ya Vitambulisho vya Taifa imekamilika na vitaanza kutolewa mapema mwezi ujao (May).
Imesema kuwa uzinduzi wa kutoa vitambulisho...
niko kibosho jimbo la mbunge wa ccm siril chami barabara inajengwa kisa kuna ziara ya rais jk,2010 alikuja kufungua kituo cha polisi okaoni akahaidi barabara na mkandarasi akijitokeza na kuhaidi...
Imetokea jana maeneo ya magomeni barabara ya magomeni kondoa.
Jamaa alikuwa anaendesha gari kwa mwendo mkali, fujo, mbwembwe huku akiliyumbisha barabarani.
Kaenda hivyo huku akiwakosakosa watembea...
Nimesoma bango moja linalotengenezwa kwaajili ya maandamano ya kesho
siku ya wafanyakazi nikakutana na ujumbe huu "mshahara duni.kodi kubwa
na mfumuko wa bei ni pigo kwa wafanya kazi"nahisi ujumbe...
Heshima mbele wakuu.
Katika pita pita zangu huku nimekutana na taarifa ambazo zinaonyesha uwezekano wa mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam na maaneo ya karibu.
Nimefuatilia habari kwa karibu...
Kwanza napenda kumpongeza sana waziri wa mambo ya nje bw. Bernad Membe. Hajawahi kuwa na kashfa nzito kama hizi zinazopelekea mheshimiwa rais kupangua tena baraza la mawaziri. Kwa upande wake...
This is the moment a pride of hungry lions had to turn on their tails and flee after the herd of buffalo they were eyeing up for dinner gave chase. Wildlife photographer Brendon Cremer captured...
Walaka huu ukuendee ewe"IGP MWEMA"kisha uingiwe na moyo wa huruma.
Mh IGP hivi karibuni nilitembelea mkoa wa morogoro ktk shughuri zangu binafsi.
Nikiwa morogoro nilitembelea maeneo ya...
Tarehe 28/04/2012, ni siku ambayo sintoisahau kwa jinsi nilivyoteswa na kampuni ya usafiri wa anga ya Prescion air. Nilifika uwanja wa ndege wa Mombasa saa nne asubuhi, tayari kwa kuruka na ndege...
Leo ni zaidi ya wiki sasa watu wanaenda kucheck afya ktk vituo hivi na kukutana na maelezo hatupimi tumeishiwa dawa, nilikuwa nasikia habari hii kwa muda ila leo nimethibitsha mwenyewe baada ya...
Mwenyekiti wa Chadema, Kata ya Usa River, wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha, Msafiri Mbwambo, (32) mkazi wa Lake Tatu, ameuawa kinyama kwa kuchinjwa shingoni kuanzia upande wa nyuma lakini wakiacha...
Kumetokea ajali mbaya karibu na eneo alilopata ajali regia mtema ambapo coaster yenye abiria iliyokua inatoka mlandizi kwenda moro imegongana na lori la mafuta.watu watano wamefariki na majeruhi...
Nimekuja kulipia bili yangu hapa TANESCO Mikocheni. Sehemu ya malipo yuko bibi yetu ndo anatoa huduma.
Kimsingi kwa umri wake,lazima atakuwa amestaafu na yuko kwa mkataba. She is damn slow! Niko...