Uzalendo kazi

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Badala ya jeshi la polisi kuchunguza sababu na wahusika wa mauaji ya kinyama kwa wananchi kama mwenyekiti wa chadema usa river,wabunge kule mwanza yanayoendelea kutokea wao wanafanya uchunguzi wa vurugu za kuvamia mashamba ya mabwanyanya, je mtanzania kwao si muhimu?
 
Back
Top Bottom