Dr. Bana kuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Bana kuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Az 89, Apr 30, 2012.

 1. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kumekuwepo na tetesi hivi punde kwamba mkuu wa idara ya utawala wa umma na sayansi ya siasa, UDSM..dr B.Bana yupo ktka baraza jipya la mawaziri ila cjajua ktengo gani...source mi mwenyewe!
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  mbona unajiabisha kwa post zako za kijinga?? ina mana Dr. bana ni mbunge?? acha kuleta post za aibu hapa kama huna cha kupost kaa kimya au nenda yutube uangalie movie za kinigeria!!
   
 3. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nitalia mpaka 2015 akipewa uwaziri huyo kilaza
   
 4. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Rais bado ana nafasi zake kati ya 10 za wabunge wa kuteuliwa naye. Hakuzitumia zote, bado ziko kibaao.
   
 5. c

  chiungutwa Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3


  aisee osokoni umeongea lakini naona kama hicho kidonge ulichompa hakimtoshi...muongeze akome kuleta post ambazo hata hazieleweki...kuna watu vilaza dunia hii acha tu...wewe hapo mlimani sijui unafanya nini...ni mwanafunzi au?ukijibu hilo naweza kukuelewa kidogo..maana uwezo wako wa kufikiria unanipa shida kidogo.....
   
 6. d

  dandabo JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  duh! Mkubwa hebu pitia sifa anazopaswa kuwa nazo mtu ili ateuliwe kuwa waziri! Bana hana hizo sifa kabisa. Tetesi zako hazifananii na ukweli hivyo hazijadiliki!
   
 7. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Usifikiri kwa Masaburi. Akishamteua kuwa Mbunge ataapishwa lini Bungeni ili aweze kumteua kuwa Waziri?
   
 8. Keen

  Keen JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 620
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tuko pamoja mkuu, siyo kilaza tu ila kilaza squared.
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Unga sasa kg 1 ni 1200/= jamani 2tafika kweli? Hakika jk ni boom!
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Bazil Mramba aliwahi kusema kuwa hata ikibidi watu kula nyasi ndege ya rais inunuliwe na iwe hivo sasa ndio ule wakati wa kula nyasi umefika ndugu yangu! wewe ukiona watu wana rise huko mali, guinea bissau, misri tunisia libya nk ni mambo haya mtu anaona akikaa kimya atakufa njaa na akipigana pia anaweza kufa ila kuna chance ya ku survive wanaenda front!!
   
 11. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  akili zako wew kama za Tuntemeke! Rais ana uwezo wa kuteua ikiwa bado nafasi 10 hajazimaliza! Kwani unafikiri kuteuliwa lazima uwaziri kwenye hilo baraza jipya? Unataka nipgwe ban!
   
 12. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  lazima huyo myu ateuliwe kwanza ubunge halafu akaapishwe bungeni kama mbunge ndo awe waziri sasa sijui akiteuliwa leo ataapa kwa rais kwanza kama waziri then bunge likianza anaenda kuapa kama mbunge au vipi!!!! maana katiba ya sasa inasema waziri lazima awe mbunge na mtu hawezi kuwa mbunge rasmi kabla hajaapishwa
   
 13. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo ni upeo wake inabidi tumsamehe bureee:A S 2152::A S 2152:
   
 14. Yaka

  Yaka JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 180
  nasema hivi unalo ndugu yangu mwanzisha mada, fikiri kabla ya kunena wala kutenda. unaona sasa umeumbuka. pole yake kama nakuona vile. ndo hivyo tena ushabugi.bye
   
 15. M

  MTK JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Hasara tupu,
   
 16. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna uwezekano wowote wa kupata uwaziri huyo mwl wenu wa mlimani mwache akae na utafiti wake wa ajabu
   
 17. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  akili hazizidi nywele...moyo nao una ubongo wake pia!
   
 18. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  atakua naibu au Katibu nafikiri akili za mtoro unazijua
   
 19. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Q
  Rosemary kumbe upo humu!!!
   
 20. S

  Shansila Senior Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr.Bansen Burner hafai kuwa waziri na hana sifa wajameni.
   
Loading...