Hivi hii ndege inaoperate kwa uchafu kiasi hiki! sijaamini watu wanapewa boarding pass wanaachwa! nimejionea mwanza pana uchafu uliokithiri! inawezekana vipi mfanyakazi anatoka dirishani anakuja...
Mimi nimaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
Ninafatilia kwa umakini sana sherehe za siku hii ya wafanyakazi mjini Tanga..
Kati ya mambo yanayonivutia ni hii hotuba ya JK anayoendelea kuitoa. Kiukweli imepangiliwa vizuri sana, na sehemu...
Kama unamfahamu mfanyakazi yeyote wa TBS, basi inabidi ukampe HONGERA zake kwa kuwa hela wanazozipata kwa kuruhusu matairi feki ya magari, watu wanazidi kufa na kuumia.
Tunajua mmetengeneza hela...
Agape tv wanahubiri dini au wanafanya biashara ya pombe.
Kwanza naona wanajichanganya na wabaguzi kweli wale wako kibiashara zaidi, ukitaka kujua kuwa si watu wa huduma bali biashara, walikuwa wa...
Helping poor Nations to get out of poverty proveked to be more difficult than helping wealthy nations to recover from war.
(Soma zaidi;efforts to end poverty,www.watchtower.org/e/20110601/articl_2)
Hawa jamaa (wazanzibari) nasikia wameanza kampeni zao za kuwanyanyasa ndugu zetu kutoka Tamzania bara,source clouds radio amplifaya ya Milard Ayo,wito wangu kwa wazanzibari muishio huku bara...
Wakuu kipindi nipo primary nimeshuhudia sana hiki kinachoitwa mazingaombwe. Toka kipindi hicho nimekuwa nikijiuliza maswali ambayo mpaka sasa sijapata majibu yake. Baadhi ya maswali ni haya.
1...
Sisi wafanya biashara wa kimara Mwisho tunakuomba mkuu wetu wa wilaya uje tukwambie uonevu huu.Mpaka sasa vijana wako wanatubomolea vibanda vyetu kwa kisingizio cha kujenga barabara huku Waziri...
Tahadhari
Kuanzia: Tarehe 30 Aprili 2012 Mpaka: Tarehe 04 Mei 2012
Aina ya Tukio Linalotarajiwa: Mvua Kubwa (zaidi ya milimita 50 katika kipindi cha saa 24 kila siku)
Kiwango cha Uhakika: 80%...
saa nne hii leo basi la abiria toka mwanza kwenda dsm limepata ajali eneo la Igunga mjini watu wamekufa na majeruhi kibao -nitaendelea kuwajuza kadri taarifa nitakavyo ipata
Wana JF hakuna Ubishi kwamba MNYIKA atapoteza jimbo la UBUNGO na MAHANGA atapoteza SEGEREA.Mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri Dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.MNYIKA...
Nimenunua kigamuzi cha ting na antenna yake lakini picha ni mbovu, customer servises mbovu (nilipiga namba mojawapo ya kupata huduma aliyepokea alitaka nimtumie chochote ilianisaidie vzr)...
MWENYEKITI Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ametunukiwa tuzo ya dunia ya uongozi kutokana na mchango wake kwa jamii katika jitihada za kuondoa umaskini na kusaidia makundi mbalimbali ya...
wadau,mwenye habari kuhusu mwenendo wa kesi ya huyu gamba,
nimepita pale mitaa ya kivukon front watu ni wengi wanasikiliza kesi hiyo.
Wanamjvi fungukeni!
Inapiga kwenye simu yako kwa kubip zaidi ya mara moja. Niliishtukia nikawapigia voda-100 (huduma kwa wateja) kuwaulizia kuhusu hii namba. majibu yamenishtua. watu wengi wamepiga kuulizia hii...