Watumiaji wa Vodacom Hatari chunga namba hii +50588922742

sambu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
282
282
Inapiga kwenye simu yako kwa kubip zaidi ya mara moja. Niliishtukia nikawapigia voda-100 (huduma kwa wateja) kuwaulizia kuhusu hii namba. majibu yamenishtua. watu wengi wamepiga kuulizia hii namba. Wengine wamedai wakiipiga baada ya kwabip haina majibu ila ukienda kuangalia balance yako unakuta ni zero na hela yote imekombwa. Nimewaulizza Vodacom wanachukua hatua gani na wamejibu bado wanafuatilia hii namba na watajulisha wateja kwa sms wakipata majibu. Najiuliza- hivi mapaka wateja walalamike ndo wachukue hatua. Je ikiwa na madhara hata kwa M Pesa account si tutalizwa wengi? Tafadhali chukua hatua. Ushauri wa Vodacom ni kuwa usipokee hiyo namba na wala usiipige wala kutuma mesage. Ipuuzie.
 
Mbona hiyo namba ya khamran? Safari hii kaja na mbinu nyingine sio twiga tena. Maige tuhabarishe.
 
Duu!. Ni jana tu hii namba ili ni beep, Lakini nilipoona code namba sio ya Tz niliachana nayo. Hasante kwa taarifa japo jukwaa la hii tarifa sio lake, Umenipa faida mkuu.
 
Hii mitandao hii, yan nataman ningeweza kufungua wa kwangu peke angu,teh
apo kutatua tatizo watachukua karne!
 
Tcra wanafanya nn? Na nini lilikuwa lengo la kusajili namba zetu ilhali bado tunatukanwa kwenye simu kama kawa! Kuna jamaa juzi alinipigia usiku mida saa nne kwa namba ngeni akanitukana "shoga wewe" halafu akakata simu, nikajaribu kumpigia haipatikani, nilipoicheki kwa kutumia m-pesa nikakuta hiyo namba haijasajiliwa..sasa lengo la kusajili namba lilikuwa ni nini? Kama yale mambo tuliyokuwa tunafanyiwa enzi simu hazijasajiliwa bado yanaendelea????
 
Duu!. Ni jana tu hii namba ili ni beep, Lakini nilipoona code namba sio ya Tz niliachana nayo. Hasante kwa taarifa japo jukwaa la hii tarifa sio lake, Umenipa faida mkuu.

mkuu,wakat mwngne unaweza acha kupokea kumbe ni nduguyo from abroad...
 
Namba inaoriginate from Nicaragua..sidhani km inauhusiano wowote na Vodacom.
 
Tcra wanafanya nn? Na nini lilikuwa lengo la kusajili namba zetu ilhali bado tunatukanwa kwenye simu kama kawa! Kuna jamaa juzi alinipigia usiku mida saa nne kwa namba ngeni akanitukana "shoga wewe" halafu akakata simu, nikajaribu kumpigia haipatikani, nilipoicheki kwa kutumia m-pesa nikakuta hiyo namba haijasajiliwa..sasa lengo la kusajili namba lilikuwa ni nini? Kama yale mambo tuliyokuwa tunafanyiwa enzi simu hazijasajiliwa bado yanaendelea????

Kwani kuitwa shoga ni kukutusi? acha ulofa ww.
 
Kwani kuitwa shoga ni kukutusi? acha ulofa ww.

Kwa kuwa wewe ni shoga hutaona tifauti. In short tusi ni kuitwa jina la uwongo au kunenewa kwa lengo na namna ya kudhalilishwa. Ukiitwa "mjinga" ili hali ww si mjinga umedhalilishwa na ni tusi. Lakini ukiitwa "shoga" na ww ukawa shoga kweli hujadhalilishwa na hivyo hukutukanwa.
 
Back
Top Bottom