Ajali ya basi NBS toka Tabora to Arusha

Status
Not open for further replies.

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
saa nne hii leo basi la abiria toka mwanza kwenda dsm limepata ajali eneo la Igunga mjini watu wamekufa na majeruhi kibao -nitaendelea kuwajuza kadri taarifa nitakavyo ipata
 
saa nne hii leo basi la abiria toka mwanza kwenda dsm limepata ajali eneo la Igunga mjini watu wamekufa na majeruhi kibao -nitaendelea kuwajuza kadri taarifa nitakavyo ipata
nimeona kwenye habari dereva wa gari la kampuni hii safari ya Musoma - Dar akilalamikia unyanyasaji na masilahi duni, isije ikawa ndio chanzo cha hizi ajali.

Hatutaki kusikia hizi ajari jamani, matatizo tuliyonayo yanatosha. Mungu tuepushe na haya majanga

Huyu tajiri wa haya mabasi nasikia licha ya kuwanyanyasa madereva wake vile vile hawalipi mshahara
 
jamani ,majeruhi wamepelekwa hospital watumishi wachache, na vifaa hakuna kwani karibu abiria wote wameumia na maiti ni wengi nitawajuza tena wana jf
 
Unajua tatizo kubwa wanalolifanya matajiri wa magari , ni ujinga wa kumpa gari dereva mmoja kutoka Mwanza saa 12 Asubuhi DSM saa 4 usiku tena kesho anaunganisha wanachoka hawa. Harafu saa 4 kuwa igunga mwendo ulikuwa mkari sana.
 
saa nne hii leo basi la abiria toka mwanza kwenda dsm limepata ajali eneo la Igunga mjini watu wamekufa na majeruhi kibao -nitaendelea kuwajuza kadri taarifa nitakavyo ipata

hebu kaangalie vzr mkuu ni basi gani iliyopata ajali make kuna mtu yupo igunga anasema basi iliyopata ajari ni NBS CLASSIC ya kutoka tbr kwenda ars
 
Duh bad news; Pole yao majeruhi wote na Mungu awasaidie waweze kupona na Pole yao wafiwa wote; na marehemu wote Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi wastarehe kwa Amani.......

AMEN
Lkn chanzo cha ajali chasemekana ni nini?
 
Vijana hawa wamiliki wa Mohammed Trans naweza waita ni majuha kwa jinsi wanavyoendesha kazi hii ambayo wanaifanya ni kama ya kusafirisha mizigo na si binadamu, ni bora kampuni hii ikafungwa japo mwaka mzima kwa njia zake zote.
 
Mkuu Majuha ni watu waliopewa dhamana kufuatilia mabasi.
Haiwezekani Sumatra na trafic police wasijue upuuzi huu.
 
saa nne hii leo basi la abiria toka mwanza kwenda dsm limepata ajali eneo la igunga mjini watu wamekufa na majeruhi kibao -nitaendelea kuwajuza kadri taarifa nitakavyo ipata

hilo basi kila mara linasababisha ajali,,,,sumatra sasa watakiwa walifungie moja kwa moja.....
 
nipo site ,samahani wana jf sio basi la mohamed trans ni basi la NBS toka tabora kwenda arusha,ajali imetokana na kupasuka tairi la mbele na kuacha njia huku likiuvaa mti uliokuwa pembeni,basi limekwisha kabisa
 
sasa kuna taarifa mbili, MTL na NBS CLASSIC. Tuamini lipi?

kama ni MTL-Mohamed Trans LTD, ni jana tu madereva walilalamika mazingira magum ya kufanya kazi zao. sas leo ajali, biashara itawashinda wasiporekebisha hali hiyo
 
Amekanusha thread yake si basi la MTL ni basi la NBS from Tbr~Ars
 
it seems it was a genuine accident, tire burst, so sorry for that unfortunate accident. we have lost our brethren. LORD have mercy, save the injured
 
duh tumefiwa jamani.. Kuna rafiki yangu alikuwa na familia yake humo.. Mke wake kafariki yeye hatujui.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom