Precision air kuna uozo uliokithiri Mwanza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision air kuna uozo uliokithiri Mwanza!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Twande, Apr 29, 2012.

 1. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi hii ndege inaoperate kwa uchafu kiasi hiki! sijaamini watu wanapewa boarding pass wanaachwa! nimejionea mwanza pana uchafu uliokithiri! inawezekana vipi mfanyakazi anatoka dirishani anakuja nje anakusanya tiketi za watu mikononi halafu wale waliompa rushwa anawachukua anabakiza tiketi zenye majina ambayo hawajamuhonga? wanakatisha tiketi kwa gharama kubwa halafu wanaoperate kama mabasi ya mbagala! shirika linajifanya lina selfhandling lakini kinachofanyika ni masrahi binafsi ya wafanyakazi wanaotumia system weak za shirika za kuoverbook kugandamiza abiria hivi Tanzania tutafika?
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Ugewaandikia wahusika pia ingekua bomba
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Hapo Mwanza pana rushwa sana sana nadhani hakuna msimamizi wa Precision Air wote wale ni vibarua au outsourced function hawana nidhamu ya kazi wala hawafuati utaratibu unavyotakiwa!!
   
 4. bona

  bona JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka kipindi cha easter watu wakati tunatoak mwanza kwenda dar ilikua ijumaa kuu afternoon flight, sikua nimebook precision, nilikua nimebook 540 ila mda wa kuondoka watu kadhaa waliokua pale wakaachwa eti ndege imejaa wakaambiwa walichelewa ku check in wakati haikua kweli kwani walikua wamefika 1hr before flight, ni mstari ukakatwa tu wakaambiwa nyie mtaondoka kesho asbui yaani jumamosi, ilishangaza nadhan kumbe ndio mchezo wao, watapigwa bao na 540 mda c mrefu!
   
 5. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Mh ! Kweli wasipojirekebisha wataua hii kampuni kwa uzembe na uvivu wa kiutendaji.ni bora makampuni yaongezeke kuleta ushindani.
   
 6. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yani huu ni mwanzo mkuu!mimi ni muathirika wa tukio la jana tu! na tulishapiga simu kadha palepale!huu ni mtandao wa kijamii ni moves ambazo tunaanza kuzichukua ili wasiojua wajue wakikata tiketi za precision ni kama daladala! confirmation sio issue! na wafanyakazi wanachukua rushwa kwenye mistari! umekaa kwenye q wanabadilisha utaratibu kufit mahitaji yao!
   
 7. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna usimamizi system imeoza! aliyefanya huu uchafu pale counter jana tuliambiwa ndio supervisor! yani anareflect management mbovu ya shirika zima!alianza kujibizana na watu wenye hasira za kuachwa pale bila kutumia akili hata awaache wavent out hasira zao zikitulia ndo aongee ***** wao wa kupeleka watu mahotelini kulala wakati watu wana kazi za muhimu kufanya kesho yake zenye dead line! supervisor ndie aliyetoka dirishani na kukusanya tiketi mkononi mwake kuingiza watu aliotaka yeye! what a ****!
   
 8. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu afadhali mstari umekatwa utalalamikia shirika na system mbovu! mana kama wamekata wa mbele wameondoka utaendelea kulalamika bado kwamba kwanini umeachwa na ulikuwa na confirmation! lakini pale zinakusnywa tiket mkononi na wanaondoka waliokuwa nyuma? hata kipofu atagombana! binafsi sipandi tena hii ndege! najua saivi hawajali kelele za watu wanaona wana watu wengi lakini naamini hakuna marefu yasiyo na ncha pale tuliokuwepo ni wengi wameshatupoteza na kwa kuwa si mara ya kwanza watakuwa wamepoteza wa kutosha! at the end of the day mwisho wao utakuja tu!
   
 9. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Management inapaswa kuweka usimamizi madhubuti kuanzia customer handling, luggage handling mpaka security, Mie SHAIBIWA SIMU YA THAMANI KUBWA SANA KUTOKA NDANI YA BEGI na mpaka leo zikabaki hadithi tu
   
 10. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani hii ndege ni balaa kama daladala la mbagala, niliwaonea huruma sana abiria waliosafiri na kampunii siku ya alhamisi walijuta kuifahamu. Pamoja na mimi nilikumbwa na delay za hapa na pale lakini wajirekebishe
   
 11. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Imagine sijaongelea delay bado! dar kwenda mwanza tulipigwa delay ya hatari! halafu wakazidisha watu tuko kwenye ndege wanaanza kubembeleza watu kushuka! very soon wataweka bomba watu wajishikilie katikati! wanaoperate kwa viwango wanavyotaka wao! this is the beginning lets just shout out me nitalipeleka hili
  suala mbele zaidi mana kilchofanyika ni uzalilishaji pia! unawachukua watu wa nyuma yangu bila vigezo vyovyote vya kueleweka? walikuwepo watu waliokuwa on transt labda tungeelewa lakini tulibaki pamoja tukiwa na msiba mmoja!


  Hivi wanaowapa hizi leseni kwa nini hawafuatilii viwango? halafu baada ya hizo delay zao wanatoa korosho au visandwich! unachefuka tu na njaa! you can see kipaumbele ni viten percent wanavopata baada ya kuorder vikaratasi vyenye nembo za precision na vibox bila interest ya kinachokuwemo ndani!! sadsadsad!managers wanalala nyumbani no supervision! unamwachia supervisor ambae unahoji hata vigezo walivotumia kumuweka hapo!!
   
 12. b

  brian360 JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Bora mmenijulisha nilitaka kwenda kununua hisa zao
   
 13. wantuzu

  wantuzu Senior Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  'halafu wanataka mabadiliko'
  hiyo ndio kawaida ya airport ya mwanza na haswa kwa ndege ya mwisho , mi mwenyewe mwaka 2008 ilinitoka 10000 kwa ajiri ya b/pass tu .
  jamani hebu tubadilike kwa tabia hizi hata kije chama toka mbinguni hakuna kitakacho badilika tuwe wazarendo wenye udailifu
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  kwa mwendo huu tutaanza kupaa na ungo tu.....
   
 15. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is really sad news. When there is lack of competition in the industry these type of gabbage are likely to appear. Tunahitaji competition kwenye hili soko ili kuwe na automatic behaviour change.
   
 16. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Exactly my point too! seriously competition inahitajika for now definately i will b running to 540! and we need mamlaka ya kutoa leseni iweke vigezo ambavyo viwe na strictly follow up sio kuweka sheria tu! mana si sisi tu tunasafiri wenzetu wa nje wakifika hapa wanajionea maajabu! niliwaonea huruma siku ile walikuwa wanakimbizwa kwenye vioffice vyao fake pale mpaka wamekuwa wekundu! yani kwanini sisi tu ndo tunakuwa watu wa kutoperfect!
   
 17. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pia kuna ishu ambayo ningeshauri watu wa usalama waizingatie pale mwanza. Kuna tabia ya kupitisha baadhi ya mizigo bila kuipima; yaani ukiwa na mizigo mingi (kama ndoo za samaki) wale wahudumu wanakutokea toka unapofika tu na kuomba wakupitishie mizigo inayozidi uzito bila gharama kubwa. Wanaomba kati ya 5,000 na 10,000. Abiria wengi hawajui umuhimu wa kupima uzito. Hii ni hatari kwa usalama wa ndege hasa wakati wa kuruka.
   
 18. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizi ni hatari zingine ambazo watanzania mpaka tupate matatizo ndo tunastuka! ndege inaondoka na uzito ambao haueleweki kitu ambacho ni hatari sana kwa ndege! tunarudi kulekule. . no supervision at all! na siku hiyo walikuwa waondoke na mabag ya waliowaacha walikuwa on transt ambapo kisheria huruhusiwi kuondoka na mzigo wa mtu aliyebaki! tuliwapigia kelele na walioachwa waligoma kuidentfy mizigo yao wakaanza kuhaha! baada ya kuona tuliokuwepo tulikuwa tunaelewa issues zinatakiwa ziende vp!
   
 19. Baba Imani

  Baba Imani Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Mbona hawajibu? Hawana hata twitter address?
   
 20. Baba Imani

  Baba Imani Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  nunua wakushikishe pakacha la mavi. Washachuma sasa wanatafuta pakutokea. Hukumbuki yale ya kampuni ya mwananchi iliyoanzisha kiwanda cha samaki mwanza na ndoto za kujenga gold refinery, wakatafuna hela za wazawa?
   
Loading...