ukweli kuhusu mazingaombwe..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukweli kuhusu mazingaombwe.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tindikalikali, Dec 26, 2015.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wakuu kipindi nipo primary nimeshuhudia sana hiki kinachoitwa mazingaombwe. Toka kipindi hicho nimekuwa nikijiuliza maswali ambayo mpaka sasa sijapata majibu yake. Baadhi ya maswali ni haya.
  1. Je kuna uhusiano wowote kati ya uchawi na mazingaombwe?
  2. Kama hakuna uhusiano, je ni nguvu gani wanazotumia?(maana kuna wasioamini uwepo wa Mungu wala uchawi).
  3. Je kuna mahali wanasomea haya mambo?
  4. Vipi kuhusu historia yake, na yana nafasi gani katika hii dunia ya utandawazi?

  Natanguliza shukrani...karibuni.
   
Loading...