......dc lugimbana tunakuomba kimara mwisho... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

......dc lugimbana tunakuomba kimara mwisho...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, May 2, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Sisi wafanya biashara wa kimara Mwisho tunakuomba mkuu wetu wa wilaya uje tukwambie uonevu huu.Mpaka sasa vijana wako wanatubomolea vibanda vyetu kwa kisingizio cha kujenga barabara huku Waziri Magufuli hakutoa tamko la namna hyo.

  Uonevu mkubwa unaotendeka ni wenye vibanda vya mbao ndo wanaovunjiwa wale wenye flemu tofari na wapo ndani ya Service road hawaguswi.
  Sisi wanaotuvunjia tunafamilia,tuna watoto tunasomesha,tunapata mahtaji yetu muhmu kwa biashara hz hz leo vijana wako wanatuvunjia bila sababu za msingi.

  Kibaya zaidi Uongozi wa Soko la kimara mwisho unakusanya ushuru kwa wafanya biashara wenzao na kugawana na VIONGOZI WA SERIKALI ZA MTAA,POLICE WA KITUO CHA KIMARA.Wanaokusanya si watumishi wa Serikali wala si wa kampuni yoyote iliyopewa tenda na serikali kwa kazi hyo.

  Mkuu wa wilaya tunakuomba uje kimara mwisho tuonane na wewe kabla hali haijawa mbaya.Kwani muda si mrefu wametuvunjia tena huu uvumilivu ukitushinda patakuwa.
  padogo.
  Wanabeba Mali za watu na kuzipeleka mbezi kituo cha police,Mali zingine ni Matunda watu wamekopa hela wajikwamue leo watu wachache wanaharibu maisha ya Walio wengi.Hii mikopo tukalipe na nini?

  Dharau zimetosha.

  Mytake-Nchi hii si chama chochote bali ni ya watanzania wote.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Huyu yuko Bize anaijenga Taasisi yao ya Kifamilia UVIKIUTA,, jaribu kumfuata kule kwake Mbande,, manake Kimara sijui kama atakuja leo.
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kaka hii taasisi inajihusisha na nini
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Unataka dc aje akuhalalishie kufanya biashara barabarani?, jifunze kutii sheria.
   
Loading...