Wazanzibari mlioko Tanzania Bara,waelimisheni ndugu zenu huko Zanziba jinsi tunavyoishi huku!

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
771
Hawa jamaa (wazanzibari) nasikia wameanza kampeni zao za kuwanyanyasa ndugu zetu kutoka Tamzania bara,source clouds radio amplifaya ya Milard Ayo,wito wangu kwa wazanzibari muishio huku bara waelezeni ndugu zenu huko zanziba jinsi tunvyoishi na nyie huku kwetu!Naamini hatuna cha kupoteza kama tukiwafukuza na nyie huku kwetu!
 
Back
Top Bottom