Hukumu za ubunge Ubungo na Segerea; utabiri huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu za ubunge Ubungo na Segerea; utabiri huu hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kyindokyakombe, May 1, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF hakuna Ubishi kwamba MNYIKA atapoteza jimbo la UBUNGO na MAHANGA atapoteza SEGEREA.Mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri Dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.MNYIKA aliponzwa na MKURUGENZI akatoa laptop zake ila MAKONGORO alijitakia.So CDM jipangeni yote myanyakue na hata la kule RUKWA. Nawasilisha kwa kumwombea mnyika kila la heri kwani UTENDAJI wake ni mzuri sana ila ajifunze asitegwe tena wakati mwingine.Nasikitika pia pesa za wtz zitatumika kurudia chaguzi hizi huku wafanyakazi wanalalama mishahara na ugumu wa maisha.Mungu ibariki Tz.
   
 2. g

  geophysics JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwenye mkondo wa sheria huwa hakuna kutabiri ( hata kama una nyota ya kutabiri kumzidi Sheh Yahya)...anything can happen...kwa hiyo usiwapumbaze wasomaji..... kwanini usisubiri matokeo si ni hivi karibuni?
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Shekh Yahya amekulithisha mikoba???
   
 4. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ujinga mtupu!!:bored:
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mnyika hatoki,,jaji ni bindamu.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Cha msingi ni haki itendeke na wala si vinginevyo.
   
 7. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuna mtu ameanzisha thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/260040-hukumu-ya-mbunge-lema-imeibua-mahakama-za-mitaani.html, sasa kila mtu amekuwa mtabiri. Hata Sumbawanga walitabiri hukumu yake mambo yakawa ndivyo sivyo, wakaja tena na utabiri wa Biharamulo mambo yakawa ndivyo sivyo na Ubungo itapita sijui mtabaki na jimbo gani la kutabiri. Kweli hukumu ya Lema imeibua watabiri wengi wa mitaani.
   
 8. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 255
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Karibu JF, Naona umekuja na kamba mguuni maalum kwa umbea.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Cha msingi ni haki itendeke na wala si vinginevyo.
   
 10. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Haya tena kumekucha kwa utabiri! Mbona ilisemwa pia Lissu atapoteza na ikawa kinyume. Mi nadhani tusubiri hukumu itakaposomwa.
   
 11. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kumbe ni utabiri, wale wa sheikh Yahya watafuatilia.
  Tumepata mtabiri aliyetumwa leo, karibu sana.
  Nilifikiri jina lako ni Kindokyakombe.
   
 12. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe umemuonaaaa! Asante sana. Subiri nikugongee "LIKE".
   
 13. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...hata mi nimesikia watoto wa chekechea wakizungumza hivyo, ila watu wazima wanasubiri uamuzi wa mahakama.
   
 14. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mjukuu wa Sheikh Yahaya Husein........:A S-fire1:
   
 15. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  AND So What about the Laptop ... ?
   
 16. b

  ba hapy New Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusubiri hukumu ya mahakama!
   
 17. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kwa nini umebadili ID?
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Sheria kama zina intertain utabiri poa.
  Kiravu atatakiwa awe mshtakiwa namba moja, kwakuwa alisimamia zoezi zima ubingo.
   
 19. b

  big niga Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  ..tuiachie mahakama itoe hukumu sio sisi kutabiri
   
 20. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Wanadai ndio zilipika kura elf kumi na nne,pia hairuhusiwi kutumia vifaa ambavyo sio vya tume.
   
Loading...