Hivi vig'amuzi vya TING mbona fake!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi vig'amuzi vya TING mbona fake!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meddie, May 2, 2012.

 1. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nimenunua kigamuzi cha ting na antenna yake lakini picha ni mbovu, customer servises mbovu (nilipiga namba mojawapo ya kupata huduma aliyepokea alitaka nimtumie chochote ilianisaidie vzr), hakuna details information ya offices na servises like startimes. Kimsingi sijui mahusiano ya ting na atn lkn nashauri atn waangalie tena ushirika huu maana yawezakuwa aibu kwa tv hii
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Hili ni taifa la kukurupuka. Sidhani kama waliemwandaa katika zoezi hili la mabadiliko ya kuondoka analogia kuja digital ana uzoefu ama wataalamu wa kusimamia hili zoezi. Kinachoonekana hapa ni uchu na uroho wa kupiga deal la mihela lakini ubora na viwango havikuzingatiwa. Kama vingamuzi ni zile feki zitokazo china basi ni wazi kuwa taifa limepoteza pesa zake za kigeni kuagiza nje bidhaa rejected(takataka).
  Raia tunashauri mamlaka husika kujishughulisha walau kidogo na kuacha kujifanya kuwa hamjui madudu yanayoendelea katika zoezi zima la ving'amuzi.
  .
   
 3. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwenye upande wa customer service wale jamaa hawapo safi, yani utadhani sio walokole vile.... Ukiwauliza kitu, majibu wanayoyatoa si mazuri!! Nafikiri yule MHINDI wa ATN inabidi ajipange vizuri ili kuweza kushindana na WACHINA wa STARTIMES
   
Loading...