Kikwete ni kiongozi mzuri sana kwa mtazamo wangu, lakini ushkaji sasa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ni kiongozi mzuri sana kwa mtazamo wangu, lakini ushkaji sasa..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sexologist, May 1, 2012.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Ninafatilia kwa umakini sana sherehe za siku hii ya wafanyakazi mjini Tanga..

  Kati ya mambo yanayonivutia ni hii hotuba ya JK anayoendelea kuitoa. Kiukweli imepangiliwa vizuri sana, na sehemu kubwa ya hotuba anatoa kichwani. Jamaa amegusia almost kila nyanja hapa nchini hasa sensitive matterz, kama ripoti ya CAG, Katiba mpya, mfumko wa bei, ajira n.k na mkakati wa serikali katika kukabiliana na kurekebisha changamoto zote zilizopo, ikiwa ni pamoja na kutekeleza matakwa ya kamati za bunge {kureform ministerz cabinet}.

  Zaidi ni jinsi alivyojidadavua kwamba yeye ndio chachu au kiini cha uwazi katika masuala ya serikalini hasa matumizi ya jambo {Mkapa hakufanya hivi},

  Japo siipendi CCM toka moyoni, ila naunga mkono hotuba ya JK ya leo..

  Remains true Revolutionalist
  Mbumbumbu mwenye akili.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  JK usimpe nafasi akaongea utamkubali sana sana...na strategy zake mdomoni.....ila utekelezaji wake utashangaa anakuwa kama amerogwa!!!na leo anatufundisha JK anahutubia taifa au anafundisha public auditing act
   
 3. K

  Kenny El-maamry New Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anachokifanya JK ni sawa, huwezezi kiongozi kuamka na kukurupuka kufukuza watu, nchi ni yetu sote, pamoja na wale tunaowapenda na tusio wapenda( wezi na mafisadi pia) ni part ya raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
   
 4. M

  Magwero JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Jamaa ukue sasa,,uwe na Fikra Jengefu na si za upinzani milele...
  Kama akiwa anautubia Taifa na kuchukua fursa hyo kuwafundisha wananchi wake kuna Ubaya gani..
  Hiyo ni moja kati ya Sifa za Viongozi Bora..
  Nimependa Binafsi na kumwelewa sana Presidaa..
   
 5. M

  Magwero JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Kweli Kabisa na kwa wasiojua,,Tanzania ni 1 kati ya nchi zilosaini mikataba ya kimataifa kuwa nchi inayofata Demokrasia na Utawala Bora....
  Na swala la kutumia hisia kuukumu si sehemu ya mikataba hii...
  Mahakama ndiyo pekee yenye mamlaka kuamua kuwa nani mkosa, nani anahaki na nani mwizi na hukumu wanazo wao, sio Rais..
  Lazima 2jue hili jamani
   
 6. javascript

  javascript Senior Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kua kwanza wewe ndio utaelewa kutofautisha siasa na utendaji
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  mtazamo wako wa ajabu ni sawa na kusema kuwa flani ana roho nzuri sana sema kinacho muharibia ni muuaji.
  Sasa kitendo cha raisi wako kuwa na ushikaji kwenye masuala ya msingi basi hilo tayari linamwondolea sifa ya kuwa kiongozi bora.
   
 8. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 876
  Trophy Points: 280
  Utamu wa meneno atoayo ni tofauti na dhamira ya moyo wake!
  Kazaliwa pwani huyo ooohhoooo!
  Kalaga baho
   
 9. s

  sugi JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  mi naamini matendo yana sauti kubwa kuliko maneno,JK n m2 wa ahadi saaaana,yaan full kuongea ila utekelezaji ndugu yangu....!ni zero,mi sioni jipya hapo maana"naijua timu yangu mjombaaa"
   
 10. M

  Mboerap Senior Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hata la kuijenga CIG ikaboreka na kuchimbua madudu tunayoyaona sasa nalo si jambo la kupongeza?
   
 11. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  aaaah hakuna kitu hapo Vasco Dagama mzee wa route tuendelee kunywa chai na vipande vya sukari guru
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wewe utakuwa kati ya Mafisadi wa EPA, MEREMETA, DEEP GREEN, KAGODA, LOLIONDO NK! HUWEZI KUWA SHALLOW MINDED NAMNA HII KHAAAA!!
   
 13. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kikwete ni kiongozi mzuri kwa mafisadi lakini si kwa wapenda haki na maendeleo. Mchunguze tena.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  So JK ni km watanzania wengine tu maneno kibaoooo lkn utendaji zeroooooooooooooo
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna watu mpaka leo wanakuwa impressed na hotuba?
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Taja sifa za kiongoz mzuri
   
 17. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sipendi hotuba za JK, ni za kinafiki, nitapenda pale atakapo wafuta kazi mawaziri wezi na kuhakikisha wanarudisha fedha ZOTE WALIZOLITIA TAIFA HASARA, kufungwa miaka 30 au kunyongwa mpaka kufa na kutaifisha mali zao zote. Wote tuseme aameeen!
   
 18. mamayeyo

  mamayeyo Senior Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 167
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kunyongwa mpaka kufa? Unagawa roho wewe? Nashukuru Mungu wewe si hakimu na sheria haitungwi na mtu mmoja.
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Kwenye kichwa cha habari yako, neno lililobeba ukweli ni "LAKINI" wajuzi wa lugha mmenielewa.
   
 20. igwana123

  igwana123 Senior Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kiongozi shupave ni yule aliyekubali constructive criticism. JK ni mmojawapo uhuru wa habari na sio kuchukua maamuzi magumu ila kufanya maamuzi yenye busara.
   
Loading...