Ushauri wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Persie, May 3, 2012.

 1. Persie

  Persie Senior Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi nimaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
   
Loading...