Mechi ya Azam na Mtibwa kurudiwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mechi ya Azam na Mtibwa kurudiwa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EGPTIAN, May 2, 2012.

 1. E

  EGPTIAN Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamati ya Tibaigana imeamua mchezo uliovunjika kati ya Azam na Mtibwa urudiwe upyaaaa!
  Source:Sports Extra Clouds fm.
   
 2. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pendekezo langu: Refa awe yule yule"
   
 3. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,140
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Soka la bongo bana utakuta refa hakuchukiliwa hatua.
   
 4. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  simba kachukua ubingwa kweupe
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Soko la bongo full usanii.
   
 6. G

  Graucho Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli soka la bongo tunababaisha kweli..wametoa maamzi yao ila kikatiba ya TFF na CAF zinapingana kabisa hayo maamzi kutokana na mazingira ya mechi yenyewe., Azam wasikubali wakate rufaa tena na watashinda na Mtibwa kushushwa daraja..wait time will tell kwan viongozi wa Azam ni makini sana.
   
Loading...