ATN ni wezi au ni nini??

Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,275
391
Nimehunishwa sana. Nimekuwa nikiona matangazo kwenye TV ya ATN kwa muda mrefu kwamba, wanauza ving'amuzi vya TING! Na ukinunua utaona mechi za Ligi kuu mbali mbali ulaya LIVE ikiwemo ligi kuu ya Uingereza! Cha ajabu juzi nimenunua, na hadi leo, mechi za ligi mbali mbali zinaendelea na sijawahi kuona hata moja!! Sasa hapa tafsiri yake ni nini??
 
kaka kama unataka live subiria cha dstv kimeanza kenya kinaitwa GO TV hawa wote wazushi
 
ndugu yangu elewa TING ni service provider pekee na sio content provider
kwa hivo ktk channel anazo host kama service provider kazi yake ni kukurushia ww
hahusiki na content zake,sawa na star times au easy tv.kama ktk tv anazohost zipo ambazo zilikuwa zinaonyesha mpira
na kama channel hizo hazionyeshi tena match TING hana kosa na sio wezi
jaribu kuelewa tofauti kati ya servicer provider na content provider.
jARIBU KUGOOGLE PIA KUWA MCHAMBZUZI WA MAMBO
siko ATN bwana sina interest nao nimekupa tu elimu
 
ni kwamba, utaona mechi za ligi kuu uingereza moja tu siku ya jumamosi live, mech za bundesliga moja tu delayed cku ya jumamoc saa 5 ucku, mech za la liga utaona highlights tu za mech zilizochezwa wk end. ILA CHAMPIONS LEAGUE ni live.
na ukitaka zaidi nunua dstv
 
Nimehunishwa sana. Nimekuwa nikiona matangazo kwenye TV ya ATN kwa muda mrefu kwamba, wanauza ving'amuzi vya TING! Na ukinunua utaona mechi za Ligi kuu mbali mbali ulaya LIVE ikiwemo ligi kuu ya Uingereza! Cha ajabu juzi nimenunua, na hadi leo, mechi za ligi mbali mbali zinaendelea na sijawahi kuona hata moja!! Sasa hapa tafsiri yake ni nini??

WEZI tu hao!! tangazo lao la TING mbona ukiliangalia kwa makini utajua ni WEZI!! ..... yaani mechi ya EPL wanaonesha moja siku ya jmosi na UEFA siku za juma4 na juma5, sawa tu na sisi tunaotumia antena ya BULB.
 
hehehehe.....
 
mimi wanachoniudhi hawa TING ni kwamba usipolipia mwezi huu wanakata haya hiyo ATN yao! wanakuachia za free TBC, ITV Channel 5, EATV na Star TV. cha ajabu ukienda mwezi ujao kulipa au ukilipa kwa M-pesa utashangaa hawakufungulii ukiwauliza utasikia unadaiwa mwezi uliopita khaa!! hivi hawaoni wenzao DSTV au Startimes km hukulipia mwezi huu wanakata matangazo km wao wanavyofanya kwa zile channel za kulipia lkn ukiendamwezi ujao hawakudai sababu waklishakata matangazo yao. TING kuweni wastaarab
 
nimehunishwa sana. Nimekuwa nikiona matangazo kwenye tv ya atn kwa muda mrefu kwamba, wanauza ving'amuzi vya ting! Na ukinunua utaona mechi za ligi kuu mbali mbali ulaya live ikiwemo ligi kuu ya uingereza! Cha ajabu juzi nimenunua, na hadi leo, mechi za ligi mbali mbali zinaendelea na sijawahi kuona hata moja!! Sasa hapa tafsiri yake ni nini??

uliulizia kifurushi unachokitaka? Hili ni la msingi sana. Kumbuka ni biashara, kama umechukua cheap, utaishia kuona chanel za ndani tu na za wahindi ambazo si lolote si chochote
 
Nimehunishwa sana. Nimekuwa nikiona matangazo kwenye TV ya ATN kwa muda mrefu kwamba, wanauza ving'amuzi vya TING! Na ukinunua utaona mechi za Ligi kuu mbali mbali ulaya LIVE ikiwemo ligi kuu ya Uingereza! Cha ajabu juzi nimenunua, na hadi leo, mechi za ligi mbali mbali zinaendelea na sijawahi kuona hata moja!! Sasa hapa tafsiri yake ni nini??

.
Nenda na king'amuzi chako siku ya maombi yao wakakiombee. Kama una imani kitaonyesha hizo. mechi kama huna imani basi tatizo sii lao bali ni lako, na hivyo itakuwa imekula kwako mazima.
.

.
 
Ndg zangu nimesoma kuanzia mtoa mada mpaka comment za wachangiaji, karibu wote mmeshauri vizuri ila suruhisho la tatizo hili tunalo sisi watanzania tunapenda kulalamika badala ya kuchukua hatua, nashauri wote tulioudhiwa na wha jamaa au na kampuni yoyote kihuduma ni kwenda kwa wakubwa wao mfano hawa TING wakubwa wao ambao wanaweza kuwawajibisha ni TCRA. Na hata mitandao ya simu ukisumbuliwa nenda TCRA mambo yako yatanyooka lakini hapa tutalalamika mpaka usiku wa manane na hela wataendelea kukata wakati huduma hawakupi. Ndiyo maana mimi nimeamua kuchagua easytv hawana usumbufu hata kidogo.
 
Kwanza naona wanajichanganya na wabaguzi kweli wale wako kibiashara zaidi, ukitaka kujua kuwa si watu wa huduma bali biashara, walikuwa wa kwanza kujitoa kwenye public dish bila kujiuliza waumini wangapi wa neno la mungu wamewapoteza kwa kuondoa matangazo kwenye ungo wa kawaida eti kukwepa watu wasione bure matangazo ya mpira.

Najiuliza kila siku hawa core ni mpira au dini maana matangazo yao ya ting yameegemea zaidi kwenya mpira kuliko hata dini.
Mbaya zaidi kwenye kwenye mahubiri yao wanakataa pombe wakati huo huo ni mawakala wa matangazo ya pombe heineken. Kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom