Mhe Kigoma Malima:"JAA PIPO"

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
'Jaa Pipo'
Nimemsikia naibu Waziri wa Nishati Na Madini , Mhe Kugoma Malima akiongea this time kupitia TBC1, Alipokua akiongea na wana Makambako juu ya kero za TANESCO . Akijibu swali toka Kwa mwananchi mmoja aliyemtaka maelezo kwanini Tanesco wamekuwa wazembe Kwa kutofuta bili za wateja Na kuwapandikizia wateja wake bili Mara Kwa mara..
Waziri huyo mwenye dhamana Na TANESCO nae alitumia mwanya huo kulalamikia Shirika Hilo la umeme, Na kusema " jamani TANESCO, Hili ni Shirika la Uma, ni letu sote Mimi pamoja Na hawa Jaa Pipo ' hivyo msiwe Na Kibri"*
Wadau mnisaidie msamiati huu ambao mweshimiwa amewaita wananchi Jaa Pipo nini maana yake? *Mtusaidie wengine Kiswahili kinatutatiza may be..!!
 
huyo jamaa sianatumia hile tumbaku inayotokana na JANI KUU ! Kwahiyo msishangae sana kwani muuliza swali alikua ni mdau wa hilo jani labda,ndio maana kaguswa ikabidi ampe shavu mwana kwa kumuita jah pipo ingawa kwa tafsiri ya kirasta farian,maana yake ni mtu wa MUNGU
 
Mbunge wa eneo hilo Njombe Magharibi anaitwa Deo Sanga. Anamiliki magari yenye nembo JAH PEOPLE. Huyu ni M'kiti wa CCM mkoa wa Iringa. Elimu yake ni darasa la pili la zamani.

Mdanganyika nawasilisha.
 
huyo jamaa sianatumia hile tumbaku inayotokana na JANI KUU ! Kwahiyo msishangae sana kwani muuliza swali alikua ni mdau wa hilo jani labda,ndio maana kaguswa ikabidi ampe shavu mwana kwa kumuita jah pipo ingawa kwa tafsiri ya kirasta farian,maana yake ni mtu wa MUNGU

Ok so jaa pipo manake ni JAH PEOPLE ikibeba tafsiri ya 'Mtu wa Mungu' Basi nadhani Mweshimiwa alikuwa right kulitumia ..
 
Niliposoma title nikadhani anaongelewa Hayati Kighoma Malima. Kumbe mtoto wake!
 
'Jaa Pipo'
Nimemsikia naibu Waziri wa Nishati Na Madini , Mhe Kugoma Malima akiongea this time kupitia TBC1, Alipokua akiongea na wana Makambako juu ya kero za TANESCO . Akijibu swali toka Kwa mwananchi mmoja aliyemtaka maelezo kwanini Tanesco wamekuwa wazembe Kwa kutofuta bili za wateja Na kuwapandikizia wateja wake bili Mara Kwa mara..
Waziri huyo mwenye dhamana Na TANESCO nae alitumia mwanya huo kulalamikia Shirika Hilo la umeme, Na kusema " jamani TANESCO, Hili ni Shirika la Uma, ni letu sote Mimi pamoja Na hawa Jaa Pipo ' hivyo msiwe Na Kibri"*
Wadau mnisaidie msamiati huu ambao mweshimiwa amewaita wananchi Jaa Pipo nini maana yake? *Mtusaidie wengine Kiswahili kinatutatiza may be..!!
....Jah!!- Mungu, People - watu. So Watu wa Mungu kwa lugha ya rastafarian..ingawaje dogo hakutakiwa kutumia huo msamiati kwani si watu wengi wanaelewa maana yake!!
 
Back
Top Bottom