Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwantumu Mahiza kuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu, Naibu Kamishna, Suleiman Kova akipita juu ya moto jana jijini Dar es Salaam baada ya kupata mafunzo kutoka taasisi ya Peak Perfomance ya kujengewa ujasiri na uwezo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuanzia leo na kesho kuna mkutana wa injili uliondaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu iringa unaanza saa nane mchana. utakaongozwa na watumishi wa MUNGU EFRAHIM MWANSASU NA UPENDO NKONE source mimi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na uteuzi wa baraza la mawaziri,ni dhahiri kabisa kuna baadhi ya wizara katumia akili za mbayumbayu mfano masele,ghasia,mkuchika na simbachawene.Wasira nae hivi kafanyanini katika taifa hili?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikweli baraza la mawazir limesukwa vilaka vimebandikwa Lakini uhakika kama vilaka vitaziba matundu ndo dukuduku langu Usishangae waliopigwa chini wanapewanyazifa sehemu nyingine Hao mi nasugest...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Tetesi zilikuwa nyingi sana kuhusu Asha Rose kupewa uwaziri kulikoni mbona kimya hatujamuona jamani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gazeti linatudanganya eti Lipumba atakuwa waziri katika baraza linalotarajiwa kutangazwa.Nimeishangaa sana habari hii ya gazeti ambalo nililiheshimu lakini sasa limepoteza sifa kwenye macho yangu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Tunakuomba kazi yako ya kwanza iwe kupunguza Ajali za mabasi, -Kuzuiya malori mabovu ya mkaa barabarani. -Kuhakikisha magari yakiharibika barabarani lazima yatolewe haraka. -Ongea na Waziri...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Mawaziri Wakristo 21, Waislam 9. Manaibu Wakristo 17, Waislam 8.
1 Reactions
48 Replies
5K Views
TAARIFA KWA WANA JAMII: Arusha Mambo itatangaza moja kwa moja [Live] mkutano wa CHADEMA kutoka Arusha kuanzia saa 8 Mchana, visit www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM......"...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Muda huu napitia pitia hoja mbalimbali JF huku nasikiliza radia mlimani fm, Kuna habari imetangazwa kuwa ..maenea ya Kibada Kigamboni, mwalimu mmoja wa Madrassa anaeitwa Saidi Ramadhani...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Siku ya mei mosi mkuu wa kaya hukututendea haki Watangatanga aah sorry watanzania kumbe. Katika hotuba yake ndefu katikati yake uliongelea sana juu ya watu wanaosoma au waliosoma BA Kiswahili na...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Ajali mbaya imeripotiwa kutokea Mkoani Kilimanjaro njia panda ya Himo na watu watatu kupoteza maisha. Sijajua chanzo vizuri ila chanzo kinasema hakika ilikuwa ajali mbaya sana Nikaona...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hivi kuna tatizo gani na ATM za NBC 1. Hazifanyagi kazi wk end kbs kuanzia jumamosi utazunguka mji mzima na bado hazifanyi kazi ukienda makao makuu ndio utakuta ATM 1 inafanya kazi na...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Kama mtakumbuka wandugu, baba mwasisi wa CDM mh. E dwin Mtei, alikuja juu wakati tume ya katiba ilipotangazwa. Hoja yake ikiwa tume imejaa majina ya watu wa dini fulani. Kama kawaida alipata...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
WAKUU NUMEKUTANA NA HII COUSRE HEBU CHECK HIZI LINK HAPA CHINI 23.9 Millions of Tanzanians are mobile phone registered users. Mobile phone can be used for many things apart from calls and texts...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa kipindi cha Jambo cha asubuhi kupitia TBC 1, kwa sababu hunifumbua akili ya mambo mengi ambayo sikuyajua kabla. Tatizo linalonikera ni mtangazaji wa kipindi bwana...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
​Mkutano wa mwaka huu wa Barrick Gold Mine uliofanyika Toronto Nchini Canada May 3, 2012, ulimzuia Mwanaharakati wa Haki za binadamu na mwanasheria wa masuala ya Maliasili Mr. Amani Mustafa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Nimefatilia kwa ukaribu mijadala na maoni ya wadau mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uteuzi wa wabunge wapya watatu akiwemo prof. Muhongo. Ambapo wengi wameshauri apewe wizara...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Anasema japo mawaziri wanabadilishwa kama kubadili mashati,lakini hategemei kitu kipya.Maana tatizo ni mfumo na si kingine. Sosi:cloudsfm.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…