Ushauri kwa Waziri Mwakyembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa Waziri Mwakyembe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tz1, May 5, 2012.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tunakuomba kazi yako ya kwanza iwe kupunguza Ajali za mabasi,
  -Kuzuiya malori mabovu ya mkaa barabarani.
  -Kuhakikisha magari yakiharibika barabarani lazima yatolewe haraka.
  -Ongea na Waziri Mgufuli,mtoe matuta kwenye barabara kuu.
  -Ongea na Waziri Magufuli,muongeza alama na vibao barabarani.
  -mwisho dhibiti upandaji nauri holela.

  Ukitusaidia kwa hayo na mengine,utasamehewa na wapiga kura wako na watupigia tena.
  Ukubwa hauji bure,ila kwa kuwajibika.
  -
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  suala la matuta linakera sana......kuna umuhimu wa ku review maamuzi ya kuweka matuta kwani naona hayana tija....
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Matuta haya pungizi ajali bali yana zidisha na pia yana haribi barbara ambapo tunashindwa ku repair zinapo haribika.
  Matuta huongeza uharibifu wa hali ya hewa na utumiaji wa mafuta unazidi na kutufanya tuzidi kuwa masikini.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mimi naomba aipige chini ATC bse kwa sasa haina ndege then aifumue TAZARA na kuhakikisha wanabeba mizigo laki 5 kwa mwaka na pia kulifuatilia kwa karibu TPA NA TRC
  All the best Kekoro
   
 5. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kukosa airline ni sawa na uhanithi, inachotakiwa alisuke upya, wewe unafurahi kuona KQ inakuja Dar mara sita kwa siku wakati sisi hatuendi Nairobi?

   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  Hakuna aibu ya nchi kutokuwa na airline ATCL vunja buni kitukipya bora iwe Kilimanjaro Air line,au ukishindwa iite Air tanzania kuliko hilo zimwi la ATCL
   
 7. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwa ndege bei gani....??? Mwakiyembe fanya kila uwezalo tupate ndege tanzania .....hata 2 tukianza nazo
   
 8. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hili ni jembe,tena jembe haswaa!hapa kipele kimepata mkunaji.sasa fanya mavituz yako watanzania wasuuzike roho zao!wizara hii ni nyeti-tunakuamini na tunakutegemea mheshimiwa!
   
 9. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Sioni kwani lazima tuwe na shirika la ndege la taifa?
  Nchi nyingi wenye uwezo kuliko sisi hawana.
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  ATC jina lenyewe limekaa kimikosi mikosi so ni heri tukawa na jina lingine baada ya kuipiga chini ATC.
  Tena unaweza anza na ndge ya RAISI si imepona yeye aendelee kukodi ilo dege mlifanyie ukarabati liwe la kubeba watu.
  BAADAE tukipata mkwanjatutanunua ndge ingine ya RAISI
   
Loading...