Tanzania Daima ni Gazeti la uzushi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Daima ni Gazeti la uzushi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EGPTIAN, May 3, 2012.

 1. E

  EGPTIAN Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gazeti linatudanganya eti Lipumba atakuwa waziri katika baraza linalotarajiwa kutangazwa.Nimeishangaa sana habari hii ya gazeti ambalo nililiheshimu lakini sasa limepoteza sifa kwenye macho yangu.Nibora habari hiyo isingekuwa front page,kwa mtaji huu gazeti hili linaeneza siasa chafu za majitaka.Lengo lilikuwa kuichafua CUF tu.
   
 2. sodeely

  sodeely Senior Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mtazamo wako tu..
   
 3. T

  Thesi JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mtatiro vipi?
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hakika wewe ni mbumbumbu wa habari.Gazeti limesema ni tetesi.......
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kilichonichangaza na hiyo habari ni kua lipumba alivyopigwa simu na gazeti akasema hilo swala hawezi kuzungumzia kwa sababu hajapata taarifa yoyote kutoka ikulu kuhusiana na hilo. Hapo ndipo nilipochoka...nilitegemea angesema kua yeye hawezi kua waziri kwenye serikali ya ccm kwa sababu ya mambo mengi ambayo amekua akisema ccm na serikali yake inayoyafanya ambayo ni mabaya mno. But jamaa ghafla kabadilika kawa mkimya na inaonyesha leo hii akipewa uwaziri anauchukua...yaani sisi binadamu ni watu wa ajabu sana...inapokuja hela au cheo watu wako tayari kubadilisha misimamo yao. :thinking:
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Sijalisoma hilo gazeti lakini leo nilipopita kijiweni ninapokunywa kahawa kuna mzee akaniambia Lipumba kateuliwa na amesoma kwenye gazeti. Nikambishia lakini akawa anasema habari ya Lipumba kuwa waziri ipo kwenye gazeti. Nikasema labda anachanganya na Mbatia aliyeteuliwa leo yeye akasisitiza kwamba si habari ya leo ila anajua ni Lipumba ameteuliwa mahala. Kumbe ilikuwa kwenye Gazeti!
   
 7. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Gazeti pekee chokonozi Tanzania

  kumbuka lilikuwa lakwanza kutoa tetesi ya kifo cha BALALI
  pia limeifanya IKULU itoe makanusho kadhaa ambayo hayapimiki
   
 8. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Hazeti??
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hivi kumbe?sikumbuki kuona picha za mazishi yake lakini
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Yes hazeti as g and h zipo karibu mbaya wale wanaoqndika "mtoto wa kigogo ahangukia pua kibaha" au mtu utakuta anaandika adi laha
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Tanzani Daima, Uhuru, Mzalendo, Kiu, haya magazeti ni kundi mmoja.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ilikuwa fumbo tu. Ilimaanisha nsisiara
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu hizo tetesi wewe ndio unasema...punguza mahaba.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mazishi ya BALALI yalifanyika lini na wapi?
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ritz wewe ndiyo mwenye mahaba na wezi, unawatetea sana mkuu.
   
 16. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wewe ndio mzushi maana habari kama hiyo inakuwa si kamili, hata mwandishi kaishia kusema anatajwa.. mbona tetesi hizo za flani kuwa waziri wa wizara fulani zipo kwenye vyombo vingi tu vya habari.. mimi nafikiri wewe unapaswa kukaa mbali na vyombo vya habari maana vingi vimeandika tetesi hizo, pia kuweka habari front page si lazima iwe tetesi au iliyothibitishwa ni hiari ya wenye hiyo bidhaa maana mwisho wa siku inapaswa kumfikia mlaji kwa ushawishi wa hali ya juu.
   
 17. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=2]Tanzania Daima ni hazeti ?[/h]kuwa makini na uongo wako hata maandishi yamekataa jinsi ambavyo unataka kutudanganya wewe GAMBA
   
 18. M

  Mwanandani Senior Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uyu ***** katoka wapi?uku watu tuna jemga hoja za mcngi ***** wewe.
   
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hata mi sijaelewa kitu hapo,eti HAZETI
   
 20. m

  mwabakuki JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  vp UHURU -kongwe la Chama cha mapinduzi. liko super Eeeeh!!!!!!????? safar yako ni ndefu ndg!!!! pole sana..ila ucjal hatutakuacha nyuma ktk safar ya ukomboz
   
Loading...