Toka uwaziri mpaka ukaimu wa mkoa

Mi ningependekeza wakuu wa mikoa wachaguliwe kwa kura na wananchi kama wanavyofanya america or uk... leo hii ingekua ni hivyo ungekuta mikoa mingine inaongozwa na watu wa upinzani na hiyo ingesaidia kupunguza rushwa na kero za wananchi. Unakuta mtu mkoa flani kavurunda rais anamuhamisha mkoa mwingine...
 
Mwantumu Mahiza in my view ni mama muadilifu na mwenye intergrity,huwezi kumfananisha na wakina...............!!!
 
Atafanyeje wakati hana ujanja wa kuishi nje ya government payroll? Hapo hata huo ukaimu ni fadhila tu.
 
hebu mtoa maada tufafanulie, kwa hyo mwantumu cyo mkuu wa mkoa pwani tena au inakuwaje hapo.
 
Mi ningependekeza wakuu wa mikoa wachaguliwe kwa kura na wananchi kama wanavyofanya america or uk... leo hii ingekua ni hivyo ungekuta mikoa mingine inaongozwa na watu wa upinzani na hiyo ingesaidia kupunguza rushwa na kero za wananchi. Unakuta mtu mkoa flani kavurunda rais anamuhamisha mkoa mwingine...

katiba mpya ndo hio. maliza dukuduku lako hapo.
 
na ikifika 2015 inabidi akafuge kuku si kutegemea ajira


haya ndo aliyowaambia wahitimu wa shahada ya kwanza......sijui kama walisomea kufuga kuku kwa miaka yote 3-4???
na pia sikujua kama resources zinazotumika kuwasomesha watanzania (hizo shahada) ni ili waje wafuge kuku!
ila nashauri kama ni kufuga kuku wafundishwe primary skul kwenye som la syaynsi kilimo kama ipo lol
 
Ameshushwa sana toka v8 mpaka gx

Mkuu TIQO unaonekana hujui aina hizi za magari. Kuna V8 Vx na kuna V8 Gx na kuna V8 standard. Hivyo yote ni V8. V8 inasimama kwa ajili ya piston 8. Tofauti inakuja kwenye Vx, gx na standard.

Mwantumu ni mkuu wa mkoa wa Pwani ila kwa sasa anakaimu ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam nadhani Meck hayupo. Zamani ilikuwa wanakaimu wakuu wa Wilaya lakini hapo nyuma utaratibu huu ukabadilika akawa anakaimu mkuu wa mkoa wa jirani.Kwa hiyo hakuna shida hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mwantumu Mahiza kuwa kaimu
mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam
Mimi sioni ubaya ni relocation tu. Mbona Lukuvi alikuwa Waziri akapelekwa ukuu wa mkoa Dodoma then Dar na sasa karudia uwaziri. Mi nafikiri hivi vyeo vya kupewa vya kisiasa havina mantiki yoyote ile zaidi ya kugawana ulaji. Maana hata productivity ya hawa viongozi haionekani.

Nakumbukwa zamani kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kuwa kuna kiongozi, alipewa cheo, akajipima na kusita kukikubali, ila wajanja wakamshika sikio kuwa kubali utajifunzia hukohuko. Tokea enzi hizo ndiyo umekuwa mtazamo wa watu wengi. Ukipewa chukua kuhusu uwezo wako mwache aliyekuteua akupime siyo wewe. Ndiyo maana leo hii Tanzania ni masikiiiini wakutupwa. Mwache Mwantumu wa watu , waingereza huwa wana msemo Here goes for nothing! (ie accepting to do something that will fail or be poorly done).
 
Mimi sioni ubaya ni relocation tu. Mbona Lukuvi alikuwa Waziri akapelekwa ukuu wa mkoa Dodoma then Dar na sasa karudia uwaziri. Mi nafikiri hivi vyeo vya kupewa vya kisiasa havina mantiki yoyote ile zaidi ya kugawana ulaji.

huko kote alikuwa bado mbunge ila huyu mama co mbunge tena.
 
Back
Top Bottom