Lakuchumpa
Member
- Mar 28, 2012
- 73
- 13
Nikweli baraza la mawazir limesukwa vilaka vimebandikwa
Lakini uhakika kama vilaka vitaziba matundu ndo dukuduku langu
Usishangae waliopigwa chini wanapewanyazifa sehemu nyingine
Hao mi nasugest waozee gerezani.
Lakini uhakika kama vilaka vitaziba matundu ndo dukuduku langu
Usishangae waliopigwa chini wanapewanyazifa sehemu nyingine
Hao mi nasugest waozee gerezani.