Kilichofanyika ni kuweka siagi juu ya mkate, lakini mkate ni uleule-DR SLAA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichofanyika ni kuweka siagi juu ya mkate, lakini mkate ni uleule-DR SLAA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 5, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anasema japo mawaziri wanabadilishwa kama kubadili mashati,lakini hategemei kitu kipya.Maana tatizo ni mfumo na si kingine.
  Sosi:cloudsfm.
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Yawezekana ! Hata baada ya E. Lowassa kujiuzuru, kwani wale mawaziri wapya walifanya mazuri yapi ktk maendeleo ya nchi yetu?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Namskia mrema nae anasema ishu c kubadil mawazi 6,ishu ni kutatua kero,kuleta mabadiliko ya maisha ya watu si vinginevyo,
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  January:'nimefarijika kuchaguliwa lakini changam0to ni nyingi,najua tatizo ni gharama za sim kubwa,tatzo la ubora wa mtandao,ntajtaid mawasiliano yawe haki ya mtanzania'
   
Loading...