Sio siri Marin Hassan Marin wa TBC 1 unaboa sana..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa kipindi cha Jambo cha asubuhi kupitia TBC 1, kwa sababu hunifumbua akili ya mambo mengi ambayo sikuyajua kabla. Tatizo linalonikera ni mtangazaji wa kipindi bwana Marin, mara nyingi anapowauliza maswali wageni waalikwa ambapo huwa maswali mazuri, sasa kabla mgeni hajamaliza kujibu vizuri jamaa anaingilia kati na kuzungumza mengine kabisa.. Wakati sisi watazamaji bado tunataka kupata jibu kiufasaha.

Fatilia hli mdau utaona mwenyewe. Jamaa huniboa sana. Japo kipindi ni educative.
 
Watu wote wenye vipara "They are either very intelligent or very stupid and not in between" By ME. Without research, by observation NO Question.
 
Huyu jamaa is Very intelligent.Nadhani mtoa mada haujamwelewa kdgo huyu jamaa,ni mfatiliaji mzur sana hii session ukiona ameingilia ujue anamsaidia au anataka amchalenji mhusika.Mf.Kama juz kati alikuwa akimhoji Dr.Ndalichako.Kama ulifatilia.Mi namkubali sana huyu jamaa kuliko watangazaj wengne.Also ana exposure kubwa cyo tu kwenye mahojiano bali hata ikija ile session ya sports.Cjui !bt ni kichwa
 
i agree with u
 
tulimkosa kipondo ufunguzi wa kampeni za cdm jangwani 2010,alihujumu live coverage,awashukuru mbowe na policcm walimwokoa
 
Mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa kipindi cha Jambo cha asubuhi kupitia TBC 1, kwa sababu hunifumbua akili ya mambo mengi ambayo sikuyajua kabla. Tatizo linalonikera ni mtangazaji wa kipindi bwana Marin, mara nyingi anapowauliza maswali wageni waalikwa ambapo huwa maswali mazuri, sasa kabla mgeni hajamaliza kujibu vizuri jamaa anaingilia kati na kuzungumza mengine kabisa.. Wakati sisi watazamaji bado tunataka kupata jibu kiufasaha.

Fatilia hli mdau utaona mwenyewe. Jamaa huniboa sana. Japo kipindi ni educative.

mfano n habari gani na siku gani.coz inatakiwa uongee kwa evidence
 
He used to be good... sijui nini kimemuingilia! Politics kila mahali
 
Nakubaliana pia kuwa jamaa ni mzuri, issue pia ni kuwa kipindi ni kifupi na hivyo hawezi kuacha mtu atiririke atakavyo, ni kudodosa kila mahala pa msingi! Ana uelewa mkubwa katika nyanja tofauti jambo linalompa nafasi kuweza kuuliza mabo mengi.
 
Mimi sijaifanya tasnia hii lakini ninavyojua mwandishi lazima awe na maswali na ajitahidi yaishe so akiona mtiu anaelezea sana aweza kuingilia au km anatoka nje ya mada . Fuatilia vipindi vya BBC utagundua hilo. Muda mara nyingi unakua hautoshi !
 
Ni mtazamo,lakini kwangu Mari ni gwiji kwenye tasnia ya habari. namwona ni ripota wa kwanza nchi hii alieasisi mtindo wa kuripoti tukio bila ya kusoma kipande cha karatasi kwa muda mreefu bila ya kumungunya maneno huku akigusia dodoso za hapa na pale. Ukweli nisikiapo marin ndie analeta ripoti toka bungeni, huacha kitu ili nimsikilize
 
Tatizo kubwa la Marin Hassan Marin ni kwamba hana proper listening skills. Anakata kauli za wazungumzaji. Lakin ana upeo mkubwa wa mambo (knowledgeable)
 
Mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa kipindi cha Jambo cha asubuhi kupitia TBC 1, kwa sababu hunifumbua akili ya mambo mengi ambayo sikuyajua kabla. Tatizo linalonikera ni mtangazaji wa kipindi bwana Marin, mara nyingi anapowauliza maswali wageni waalikwa ambapo huwa maswali mazuri, sasa kabla mgeni hajamaliza kujibu vizuri jamaa anaingilia kati na kuzungumza mengine kabisa.. Wakati sisi watazamaji bado tunataka kupata jibu kiufasaha.

Fatilia hli mdau utaona mwenyewe. Jamaa huniboa sana. Japo kipindi ni educative.

Kwa asili Marin ni mzuri, ila huenda huenda baada ya kupigwa mkwala kwa kuondolewa Tido, amekuwa mkatishaji movie sana. Akishaona unakoelekea atawaudhi mabwana zake waliomuweka kwa kukuruhusu wewe uirushe bila chenga, lazima atakuingilia kati na kuharibu mtiririko wako wenye mshiko kwa 'waliobadilika'. Kwa Media ya taifa inatakiwa iwe hivyo(hata kama hupendi) ili kusudi nchi itawalike, lakini namuhurumia kwa kuwa pamoja na 'ukichwa' alionao anakubali kuachwa kuwa wakizamani kiasi hicho, maana wenzake wameshahama kwenye hizo. Kuna wakati fulani kwenye Radio yao m iaka ya nyuma, walikuwa wanamuhoji mwnaharakati Mchj. C.Mtikila, sasa kila alipokuwa anajibu maswali yao kwa ufasaha alikuwa nakatizwa na kupewa maelezo marefu ya kumaliza muda na kuaharibu movie, mwishowe akawauliza "sasa nimekuja kueleza sera zangu au kuwasikiliza nyie? Kama nimekuja kutoa ufafanuzi wa sera za chama cha DP niacheni niwaeleze, lakini kama nimekuja kuwasikliza nyie basi nanyama niwasikilize". Ilibidi wanyamaze ukumbi ukawa wa "Saa ya ukombozi ni sasa. Ushauri, kama amekuita ahalfu hakupi nafasi dawa ni kunyamaza, yapo majukwaa mengine.
 
Mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa kipindi cha Jambo cha asubuhi kupitia TBC 1, kwa sababu hunifumbua akili ya mambo mengi ambayo sikuyajua kabla. Tatizo linalonikera ni mtangazaji wa kipindi bwana Marin, mara nyingi anapowauliza maswali wageni waalikwa ambapo huwa maswali mazuri, sasa kabla mgeni hajamaliza kujibu vizuri jamaa anaingilia kati na kuzungumza mengine kabisa.. Wakati sisi watazamaji bado tunataka kupata jibu kiufasaha.

Fatilia hli mdau utaona mwenyewe. Jamaa huniboa sana. Japo kipindi ni educative.
Nakubaliana na hii hoja kwamba HUYU Marin anaudhi mno kwa maswali ya kijinga, kujifanya mjuaji na kuingilia majibu Kama mtoa mada alivyosema..Kwa mtazamo wangu Marin Hassan ni mfano WATU mambumbumbu walio kwenye tasnia ya habari.
 
Huyu jamaa is Very intelligent.Nadhani mtoa mada haujamwelewa kdgo huyu jamaa,ni mfatiliaji mzur sana hii session ukiona ameingilia ujue anamsaidia au anataka amchalenji mhusika.Mf.Kama juz kati alikuwa akimhoji Dr.Ndalichako.Kama ulifatilia.Mi namkubali sana huyu jamaa kuliko watangazaj wengne.Also ana exposure kubwa cyo tu kwenye mahojiano bali hata ikija ile session ya sports.Cjui !bt ni kichwa
I take that what you have said here about Marin is your wish for him. It is unfortunate that he negate every thing you have said about him. Eti kichwa...yes he has a big bald head with a small mass in it.
 
Back
Top Bottom