Ajali mbaya njia panda ya Himo, yaua watu 3 papo hapo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya njia panda ya Himo, yaua watu 3 papo hapo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 4, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ajali mbaya imeripotiwa kutokea Mkoani Kilimanjaro njia panda ya Himo na watu watatu kupoteza maisha.

  Sijajua chanzo vizuri ila chanzo kinasema hakika ilikuwa ajali mbaya sana
  Nikaona nibandike humu JAMVINI kwa anayejua vema atujuze ilivyokuwa!

  Marehemu wote MUNGU awalaze kwa AMANI yake!
  Amen!
  Source: Radio One Fm!
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  wafanyakazi wa tigo watatu wamekufa.... ajali gari tatu.... ya tigo mawili na fuso
  ...... majeruhi wapo hsptl...hali zao sio nzuri...... chanzo mwendo kasi huku wakishindana....
   
 3. n

  ngarambe Senior Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyezi mungu awapumzishe kwa amani. Amina
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Duh! Ama kweli ni ajali mbaya jamani!

  Majeruhi na MUNGU akawajaze afya njema na wapone mapema jamani!

  Ajali hizi cjui zitaisha lini!
   
 5. s

  sakwera samora New Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huku kuwa na haraka kuliko upesi ni chanzo kikuu cha ajali hizi! lazima tubadilike jamani!
   
Loading...