SERIKALI imetangaza kubomoa nyumba zote zilizojengwa ndani ya mita 60 kutoka usawa wa bahari ikiwa ni moja ya mkakati wa kuokoa maeneo oevu, fukwe ambazo zimevamiwa na kuilinda mikoko inayokatwa...
Nimetembelea kwenye page yake pale Facebook nikakuta hiki. "Ona sasa kwa kuwa kuna Sudan kusini na Sudan Kaskazini,basi kuwe na Tanzania na Tanzania Kaskazini?? Kataa ubaguzi,ikatae CHADEMA!"...
Mimi ni mgeni kdg moshi mjini na leo nitakua hapo naomba mnisaidie kwa maelekezo wapi nitapata huduma ya passport size za dakika tatu na huduma ya saloon nzuri ya kike. Naomba msaada tafadhali. Ni...
Ndege mpya ya ATCL kutua Dar leo mchana
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya Boeing 737-500 ambayo inatarajia...
Kuna hii tabia ya viongozi wa kubwa katika Majeshi Tanzania iwe Magereza, JWTZ, JTK, Uhamiaji, Polisi na wengineo kuingia kwenye siaisa baada ya kustaafu ina maanisha nini?
Na wengine walikuwa...
Yamekuwepo matangazo ya kuhamasisha wananchi kushiriki katika zoezi la sensa...kauli mbiu ikiwa ni
"sensa ni msingi wa maendeleo" binafsi siiafiki dhana hii, ninakumbuka dhana kama "Elimu ni...
Tunapoendele kutafakari waliotangazwa kuwa Wakuu wa Wilaya, ningependa kupata kumbukumbu za DC yeyote aliyewahi kufanya jambo/mambo ya kuigwa/kukumbukwa katika Wilaya yeyote Tz. Taja jina lake...
Habari zenu wadau wa JF,
Nafahamu humu JF kuna watu wa kada mbali mbali na wanaweza kunisaidia kujua taratibu gani zinatakiwa kufuata unapoagiza mbegu kutoka nje ya nchi.
Nahitaji kuagiza mbegu...
1.Rais na Serikali yake ni watu makini wanaopigania kila uchao ustawi wa nchi hii
2. Viongozi wa Serikali hawawezi kuiba mali za watu wanaowaoongoza kama ilivyo kwa baba kutoiba mali za familia...
nimekua nikifatilia mienendo ya utendajikazi wa serikali ya mkuu wa kaya naona mpaka kutokee tatizo ndo anatake action. mfano kama yule Dc wa Mbozi asingejiuzulu kwa jk kutokurenew mkataba wake...
POLISI mkoani Mwanza inawashikilia watu 39 waliokamatwa katika msako uliofanyika maeneo ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine(Saut) kwa mahojiano juu ya mauaji ya utata yaliyotokea katika...
Ili jambo lolote lifanikiwe duniani linahitaji mambo matatu: nia, sababu na uwezo.
Katika utelezaji likupungua moja kati ya mambo haya huwa hakuna mafanikio. Lakini jambo kubwa zaidi katika haya...
Nimeangalia baadhi ya majina ya wateule hawa na kinachoonekana sio tu kwamba Ukuu wa Wilaya ni maalum kwa ajili ya makada wa CCM waliokosa pa kwenda bali pia mwendelezo wa mambo ya kifisadi...
Kuna dada mmoja mrembo anajiita Jack Shoo anajifanya graduate wa Makerere University, anawasiliana na wanaume tofauti na kujifanya ana matatizo kakwama mikoani mara Bukoba, mara Mwanza na...
Kwa wenye kumbukumbu, hivi kuna kipindi huyu jamaa amepata kukasikika akiongea vitu ambavyo ni sensible? Ukiondoa quotes from the famous people?. Hebu fuatilieni alicho post kule JamiiForums on...
Zile 'subtitle' zinazopitishwa wakati wa taarifa ya habari zinakera, hazina mpangilio, na hazina updates, nimeangalia subtitle zinazopitishwa kwenye kipind cha bang angalau ni nzuri, font size...