Ukiwa Maarufu au mtoto wa rais utawaburuza utakavyo, ona Riziwani alivyowakokota hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiwa Maarufu au mtoto wa rais utawaburuza utakavyo, ona Riziwani alivyowakokota hawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakiJinja, May 10, 2012.

 1. PakiJinja

  PakiJinja JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 834
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Kwa wenye kumbukumbu, hivi kuna kipindi huyu jamaa amepata kukasikika akiongea vitu ambavyo ni sensible? Ukiondoa quotes from the famous people?. Hebu fuatilieni alicho post kule JamiiForums on FB.

  Ridhiwani Kikwete
  kunya anye kuku, akinya Bata kahara.." jadili.

  Like · · Unfollow post · Yesterday at 11:13
  • 13 people like this.
  • 50 of 83
   • [​IMG]Godwin Mwamini hii yote juu ya kauli ya mh joshua nassari kuhusu kujitenga.Yesterday at 12:22 · Like
   • [​IMG]Dennis Mathias yule dogo aliteleza na ulimi wakeYesterday at 12:25 · Like
   • [​IMG]Mrisho Gambo Meru ni Jamhuri huru, sera ya majimbo hiyo.Yesterday at 12:39 via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Eddy Mshobozi Paul nafikiri humu hatutaki presenter wa mipasho kama Makerere ulienda kusoma matusi basi ulipotea. Au nyie ndo mnawatetemekea akana riz hadi kupoteza thaman na uhuru wenu?@sharifa. Mbona hatukuckia ukikemea matusi ya Lusinde aka platinum?@ Gambo?23 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Odoyo Jamkoma Nashindwa kujua watu wanajadili nini make mi sijaona hoja ya msingi alotoa jamaa hapa,Tukifikia hapo basi hata manbeno ya kwenye kanga tuyaandike then tuombe watu wajadili23 hours ago · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Bishop Hiluka Mh, mimi nimetoka kapa...22 hours ago · Likevia Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Baswiirah Omary Zifuatazo ni Jamhuri hata ikiwa miaka 100 ijayo zitajitangaza tu:- Chaga Land, Meru Land, Bahaya Land na Usambara. Nani alijuwa kuna Eritrea-Ethiopia, Kabinda-Angola, Bengazi-Libya, Alzawadi-Mali, Somali Land-Somalia na Timori Mashariki miaka 20 iliyopita ...?22 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Ahmed Islam wala c urongo 7bu bata hata ale kokoto ataharisha tu.
    ufisjdi na uchakachuaji wa baadhi ya viongoz wanaotokana na ccm katu haufanani na ufisadi wa vyama vya siasa ndani wala nchi jirani.22 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Vitalis Kisandu Hii nayo ni mada yenye kubeba mustakabari wa Maisha ya Mtanzania na maendeleo yake Kijamii,kisiasa na kiuchumi?..Haya,napita.21 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Frank Malatu We dada acha kujipendekeza kwa wa2 iko siku utaombwa mknd cjui utakataa.au unataka19 hours ago via Mobile · Like
   • · Like · [​IMG] 2
   • [​IMG]Veronica Mushi Watanzania ni vema tukiangalia ukomboz wa taifa zima na c kujikomboa binafsi.tuache kutetea giza na kukejeli mwanga.Tanzania yetu wapo watu wanateseka wewe unawaza kujenga mahotel na mashule mwenzio hajui atakula nin.tunahitaji mabadiliko ...See more
    18 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Fikiri Mnyenyex Kwahiyo aliyepost ndiye nani kati ya kuku na bata/18 hours ago · Like
   • [​IMG]Jacob Wila Kunya unye wewe 2kinya cdm kosa17 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Stanley Kipendi ccm itukane kama silinde,ila cdm ikifanya kama nassari ni bata kaharisha17 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Godlove Johnson Nikweli kuku nkuku na bata ni bata bata anakula kama mafisadi ndomana anaharisha akishikwa.17 hours ago via Mobile · Like

   • [​IMG]Veronica Mushi Its better 2be calm without any contribution rather than contrbtng on negative.17 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Eliakim Jeremiah Lakati Mtu akishiba makande huwa anaongea vitu visivyo na maana17 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Mwamfupe Anyisile aliyehara na aliyekunya wote wametimiza leongo la kutoa nje uchafu wa tumbo.17 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Abdallah Abdoullah Mtaimaliza nchi mmekula inatosha jaman mwambie mshua 2shakomaa na shda hz na atuonee huruma kwan upumbav we2 wa kuchagua sera zisizotekelezeka ndo 2naona cha moto.ila wewe mmh ht cjui 2ngekujuaje km c miongon mwa walafi keep it up mtoto wa nyoka ni nyoka16 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Veronica Mushi There z no need for discussing da colour of faeces,we hav to judge da reason of brng out da faeces.16 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]John Assey Dogo rz ipo siku haya mambo ya takuwa sawa samahani ile kesi na mtikila,slaa vipi uliobwa msamaha au16 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Odoyo Jamkoma Samahani nadhani unatoa hoja kama hizi tusahau kujua miradi ilotajwa kwa jina lako na zile ambazo hazijulikani,etiiiiiii?15 hours ago · Like · [​IMG] 2
    Like
   • [​IMG]Siza Uledi Ukiona mtu anatoa kauli za kejeli kama hz halafu anapotea ujue anatafta maoni ya kujarbu kujua kama wa2 wanafaham maovu yake au wangapi wanamuunga mkono ili apate pa kuanzia. Huyu ni kupe tu hata afanyeje hataweza kujisafisha14 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]John Assey Kaka litawaka tu hiligoma tukiuza zile scania pale tanita tunapata ndege moja tikitaifisha sheli dodoma na kwingeneko tunanua vichwa vya treni14 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Abdallah Abdoullah Na nchini arusha kanunua bonge la ghorofa ref ajab pale karibu na stand ya mabas hehe sasa mshua ataenda na visa nchni arusha14 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Mohamedy Juma kweli njaaaaaaaa mbaya na Utajiri wa masikini ni Matusiiiiiii nimeamini kwenye baadhi ya comnt hapo juu matusi ya nini?14 hours ago · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]Abdallah Abdoullah Wafuta viatu vy mtoto w mshua hao teh teh14 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]John Assey Mbona wewe ulisema rais hawezi kutoka kaskazini Kaka watu wameuchuna14 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 1
   • [​IMG]John Assey Alafu mbona umepungua sana kiafya Kaka upo yeyari kwa mapambano km kauli ya Muheshimiwa fulani14 hours ago via Mobile · Like
   • [​IMG]Mohamedy Juma kwa sababu katika uchaguzi wa Tz hakuna kitu kama hicho kigezo cha kuchagua Marais kutokana na kanda zaooooooooooo jombaaaaaa14 hours ago · Like
   • [​IMG]Frank Lyimo jadili mwenye..................hiyo status ningeweka mimi jamiiforum wangeitoa...kweli hawa jamaa wa jamii forum huyu sio great thinker toa hiii status haina maana...taarabu tupu..huku hairuhusiwiiii14 hours ago · Like
    [​IMG]
   • [​IMG]Abdallah Abdoullah Anatuletea mafumbo hajui kuwa hana ujanja wa usakaj pesa zaid y kula kodi zetu hapa ushakula pesa ya kila raia humu fb acha nyodo14 hours ago via Mobile · Like · [​IMG] 2
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaaa mtoto wa raisi anakua ana update status za kijinga kama hizi.. dah
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hana kazi ya kufanya
   
 4. r

  r2ga JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 527
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  Du! kizazi cha ****** hicho.
   
 5. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  halafu viraza wenzake wana comment. Stupid
   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kaka huyo jamaa anaweza kuwa kilaza na ana degreen ya kimahumashi ila kwa mitusi hii wewe utakuwa ndio raisi wa vilaza na wazee wa magumashi.
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu ni maoni tu hata wewe mtu anaweza kuwa na haki kukusema unschangia hoja iliyopostiwa na kilaza mwenzio. JF mnatakiwa mjadili hoja kwa hoja sio mitusi na kejeli
   
Loading...