Hivi JK bado anafanya kazi kwa feedbak,,,,??????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JK bado anafanya kazi kwa feedbak,,,,???????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kirikuu1, May 11, 2012.

 1. k

  kirikuu1 Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nimekua nikifatilia mienendo ya utendajikazi wa serikali ya mkuu wa kaya naona mpaka kutokee tatizo ndo anatake action. mfano kama yule Dc wa Mbozi asingejiuzulu kwa jk kutokurenew mkataba wake ina mana jk asingekomaa usiku wa juzi kupanga baraza lake la wapiga debe wa chama chake mawilayani yani ma dc.

  pili tumeona baraza jipya la mawaziri mpaka patokee wizi na kelele za wabunge ndo anawajibisha mawaziri???

  wakuu feedbak zipo nyingi hebu endelezeni......
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  kirikuu1
  Join Date : 11th May 2012

  Posts : 2
  Rep Power : 0
  Likes Received: 0

  Likes Given: 0


  Karibu sanaa jamvini mkuu, ukweli nimeipenda sana ID name yako hiyo maana imenikumbusha ile katuni
   
Loading...