Yatokanayo na uchaguzi wa Wakuu Wapya wa Wilaya Tanzania, 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yatokanayo na uchaguzi wa Wakuu Wapya wa Wilaya Tanzania, 2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpekuz2009, May 11, 2012.

 1. m

  mpekuz2009 New Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeangalia baadhi ya majina ya wateule hawa na kinachoonekana sio tu kwamba Ukuu wa Wilaya ni maalum kwa ajili ya makada wa CCM waliokosa pa kwenda bali pia mwendelezo wa mambo ya kifisadi ndani ya Serikali ya JK.

  Nitatoa mfano wa wateule wawili, Wilson Elisha Nkhambaku (DC mpya wa Kishapu) na Hassan Mazala (DC mteule wa Kilombero). Mwaka 2010 Wilson Elisha Nkhambaku alitaka kugombea ubunge kwa Kupitia CCM katika Jimbo la Singida Magharibi. Katika kura za maoni alishinda kwa kishindo cha tufani lakini kama ilivyo jadi ya chama chao, alichakachuliwa kwenye NEC na mpinzani wake aliyemshinda, Mohamed Missanga, ndiye aliteuliwa kuwa mgombea.

  Baada ya uchakachuaji huo, Nkhambaku alijiuzulu uanachama wa chama chao na kuhamia CHADEMA ambako tulimteua kuwa mgombea wetu wa Jimbo la Singida Magharibi. (Nitazungumzia busara zetu au ukosefu wetu wa busara katika maamuzi yetu hayo wakati mwingine!)

  FULL STORY>>>>>

   
Loading...