Shigela. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shigela.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MANGUNGO, May 11, 2012.

 1. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wakuu wanao mjua huyu babu kikongwe(shigela) anayejihita kijana watujuze juu ya elimu na historia yake kwa kifupi?
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa nini wewe ambaye ni mtoa hoja usianze na utangulizi?inavyoonekana kuna utata furani ambao unaujua kuhusiana na huyu jamaa kwa kuwa wewe unazani ni kikongwe,wakati mimi najua ni kijana!
   
 3. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nashanga hapo sura yake ni kama ana miaka 48 wakati anakula kodi zetu anatembea na vx analala pazuri .... je angekuwa kijijini ingekuwaje hebu fikiri angekuwa anlala nyumba wanayopika ndani na kuni moshi umpitie anatibiwa pazuri agakhani
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Namfahamu Shigela, kati ya 2000 na 2003 alisoma masters ya DS udsm swahiba wake mkubwa alikuwa wilman kapenjama ambaye naye kateuliwa u-dc juzi. hana jipya tangu enzi za udsm alikuwa mtu wa kujipendekeza sana na alitumia muda mwingi kulazimisha urafiki na riz1. nakumbuka mara kadhaa mida ya jioni nilikuwa nikimuona shigela na mwenzie kapenjama wakitoa darasa la fitina za siasa kwa riz1 na beno malisa. kusoma kasoma lakini hana elimu hana jipya. kiumri naamini si mkubwa ni kijana ila mawazo na mitazamo yake ni ya kizee sana hivyo wanaomuona mzee hawajakosea.
   
 5. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh'teh' no comment!!
   
 6. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Shigella is a lost man, a lost man cannot lead to anywhere. Hebu fikiria ameshindwa kuongoza vijana ndani ya CCM kupinga ufisadi na rushwa, mikataba mibovu kwa taifa eti anaongelea uhuru wa maoni wa mtu, anaongelea nassari amesema nini; Hajui wakati tuliopo sio wa kushadukia kijineno na kuacha mambo mazito wanafanya vibaya na CCM/Serikali.

  kwa nini asingeandamana kupinga hotuba ya rais mei mosi ambayo inaelezaeleza tu jitihada zisizo na tija wala haijibu maswali ya wafanyakazi mishahara duni, kodi kubwa , mfumko wa bei mkubwa; kila siku serikali itapanua wigo wa kodi miaka saba sasa anamemaliza bado kodi ni kubwa kwa workers wigo haupanuliwi hata chembe; Shigella alikuwa wapi hata kutoa tamko tu kuwa VIJANA tumechoka na ahadi hewa za CCM/Serikali.

  Shigella a hopeless leader, who can lead to nowhere. VIJANA kama tunaviongozi tungekuwa nguvu ya taifa sasa Shigella is no more of a shigela but a mamluki.
   
 7. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tofauti ya Shigella na Nassari ni kwamba Shi hana mission yoyote to accomplish, he is idle; hivyo hawezi kufanya makosa while idle sitting. Nas ana jambo kichwani la ukombozi wa nchi kutoka kwa mafsadi, wezi, wala rushwa na walevi wa madaraka, anapigana kiume mara fulani anawajibika kujitetea kwa kusema ukweli; analazimika kuchagua maneno ili atimize nia ya ukombozi, Nassari ni shujaa, Shigella ni Chama kilichoshindwa, a disgrace to the nation.
   
 8. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Frankly speakng, Shigela namshangaa sana. Hivi ajiulize ni kiongozi wa umoja wa vijana wa watoto wa kundi lipi kati ya matajiri/mafisadi/wezi/watawala au wakulima/maskini wanaokula mlo mmoja? Hoja ya Joshua Nasar ina uhusiano gani na maisha magumu ya watanzania,umaskini,ufisadi,wizi wa rasilimali na dhuruma dhidi ya haki kwa vyombo vya dola. Amani haipo but utulivu tu.
   
 9. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Save time and energy by not discussing Shigela aka speculator!
   
 10. k

  kanganyoro Senior Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lake ni kujipendekeza kwa wakubwa. Hana lolote jipya!
   
Loading...