Sensa ni Msingi wa Maendeleo??!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa ni Msingi wa Maendeleo??!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by moshingi, May 11, 2012.

 1. m

  moshingi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yamekuwepo matangazo ya kuhamasisha wananchi kushiriki katika zoezi la sensa...kauli mbiu ikiwa ni
  "sensa ni msingi wa maendeleo" binafsi siiafiki dhana hii, ninakumbuka dhana kama "Elimu ni ufunguo wa maisha"
  "siasa ni kilimo". "fedha si msingi wa maendeleo", "Ujamaa ni imani" nk. Wadau tukumbushane kauli mbiu nyingine zilizotumika kutuunganisha watanzania. Maana kauli mbiu nyingine zinakinzana kama hii ya sensa na ile ya fedha miaka ile... Tafadhali mwenye kauli mbiu ambazo zilitumika huko zamani lakini sasa zimeibuliwa nyingine zenye kukinzana aweke hapa....
   
Loading...