Kwa wale wa moshi mjini msaada tafadhali

ngarambe

Senior Member
Apr 15, 2012
100
14
Mimi ni mgeni kdg moshi mjini na leo nitakua hapo naomba mnisaidie kwa maelekezo wapi nitapata huduma ya passport size za dakika tatu na huduma ya saloon nzuri ya kike. Naomba msaada tafadhali. Ni maeneo gani.
 
Wenzio wanawaza maisha,we unawaza kujiremba tu?watu wengne bana.
 
kwa issue ya passport nenda barabara ya mawenzi hosp kutokea stand,saloon nenda kilimanjaro beauty palace naeneo ya fivestar hardware ukipandia njia ya klm booking office.km maelezo hayajitoshezi ongezea ya kwako
 
Usipate tabu, ukifika tu, chukua Taxi mwambie dereva akupeleke mpaka CCP-Moshi hapo utapata huduma zote.
 
Wenzio wanawaza maisha,we unawaza kujiremba tu?watu wengne bana.
We ni vipi kwani kujiremba tatizo liko wapi????? Ndio nyie mnakaa wiki nzima hamhogi mnajidai mko busy ukipanda kwenye daladala mnaharibu hali ya hewa. Pole sana. Kama mambo ya maendeleo unaweza kuona hizo passport nazo ni za nini au ni urembo pia. Alafu unajiita the gret dhinka!!
 
nenda Onyonya Ukunonze maeneo ya Kiboriloni utapata mahitaji yote

Cwezi kutoka mjini nikaingia nje ya mji kutafuta vitu hivyo!!! Nataka saloon na passport size,, sihitaji malapulapu ya mbege ya kiboroloni
 
kwa issue ya passport nenda barabara ya mawenzi hosp kutokea stand,saloon nenda kilimanjaro beauty palace naeneo ya fivestar hardware ukipandia njia ya klm booking office.km maelezo hayajitoshezi ongezea ya kwako

Asante, maeneo ya mawezi hosp nakujua kdg kuna duka kubwa km supermarket linatizamana na shell, na pana bar inaitwa kdc km cjakosea ila hosp napajua cjajua ni maeneo gani haswa
 
Cwezi kutoka mjini nikaingia nje ya mji kutafuta vitu hivyo!!! Nataka saloon na passport size,, sihitaji malapulapu ya mbege ya kiboroloni

mbona unakuwa mkali au unaujua mji? mmh binafsi nakushauri uwe mpole hasa unapoelekezwa na kama jibu hujalipenda basi lipotezee manake ni kama hukuwa na shida wewe halafu unapoteza muda na mb za wenzio. uwe na busara humu jamvini.
 
Mimi ni mgeni kdg moshi mjini na leo nitakua hapo naomba mnisaidie kwa maelekezo wapi nitapata huduma ya passport size za dakika tatu na huduma ya saloon nzuri ya kike. Naomba msaada tafadhali. Ni maeneo gani.
nenda Onyonya Ukunonze maeneo ya Kiboriloni utapata mahitaji yote
Cwezi kutoka mjini nikaingia nje ya mji kutafuta vitu hivyo!!! Nataka saloon na passport size,, sihitaji malapulapu ya mbege ya kiboroloni
Bado nashindwa kuelewa kama wewe ni mgeni au mwenyeji!! Umefahamu vipi kuwa Kiborilon ni nje ya mji????
 
rejao you are very right. nafikir mtoa mada alitaka kutuambia kuwa yuko moshi au ni mkazi wa mosh sasa hana cha kupost akaona atumie njia hii.
 
Hivi hamsomi mkaelewa nimeseme mimi ni mgeni kdg,,, si mara ya kwanza kufika moshi mjini,,,, napajua kidogo mfano nishafika mawenzi hosp, ila kcmc cjawahi fika hata cpajui ila najua njia ya kwenda huko, najua posta, library, crdb, nbc, ndio maana nikasema ni mgeni kdg, ndio maana naulizia huduma hizo nitazipata vipi.
 
kwani na wewe hujui kusoma? manake kwa huo mji kila mahali kuna kibao na kwakua unajua kidogo basi pia soma vibao usituchoshe hapa na majibu ako ya karaha tena....................
 
Dah! nipo hapa moshi mjini naomba kuwa mwenyeji wako.... ikiwa utapenda wenyeji wangu ni pm... nitakuelekeza sehem mbalimbali na kukupa company ya kutosha..
 
salon nzuri ya kike nenda k'njaro salon kama ulivoelekezwa hapo juu,more precisely iko opposite General tyre....passport size nzuri kuna sehemu wanapiga vizuri sana kule opposite buffalo hotel,just next to indoitaliano restaurant....Karibu Moshi!!
 
Karibu Moshi mama.
Kama bado hujapata hizo huduma niPM nije kukupeleka. Kukuelekeza sio mpango, mi ntajitolea kukupeleka.
Halafu mbona hili suala la saluni za kike hapa Moshi limejitokeza tena? Ama kuna mtu anajaribu kujipigia pande nn? A sort of advertizment?
 
Back
Top Bottom