Zamani nilikuwa naamini kuwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zamani nilikuwa naamini kuwa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, May 11, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  1.Rais na Serikali yake ni watu makini wanaopigania kila uchao ustawi wa nchi hii
  2. Viongozi wa Serikali hawawezi kuiba mali za watu wanaowaoongoza kama ilivyo kwa baba kutoiba mali za familia yake
  3.Vyama vya siasa ni vyama vilivyojaa watu wakorofi na wapinga maendeleo
  4.Popote wapinzani watakaposhinda uchaguzi patatokea vurugu na maendeleo yatadumaa
  5.CCM haitatoka madarakani
  6.Vyuo Vikuu vyetu ni chachu ya mandeleo ya sayansi na teknolojia kwa maendeleo ya nchi yetu
  7.Wanafunzi wa vyuo vikuu ni mwanzo wa fikra mpya za ukombozi na uongozi
  8.Elimu ndio ufunguo wa maisha
  9.Kuna mihimili mitatu ya Serikali: Dola,Mahakama na Bunge ambayo kila mmoja unafanya kazi zake kwa kujitegemea na kwa uhuru
  10.CCM na Serikali yake yaweza kufanya Mkutano wa hadhara popote Tanzania na kushangiliwa kwa hoja zake za kimaendeleo

  Na kadhalika...Kwasasa naamini kinyume chake.Wewe je?
   
Loading...