Ndege mpya ya ATCL kutua Dar leo mchana

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
[h=3]Ndege mpya ya ATCL kutua Dar leo mchana[/h]
[h=3][/h]
Na Mwandishi Wetu

SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya Boeing 737-500 ambayo inatarajia kuwasili leo hii Mchana (Alhamisi) kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, taarifa iliyotolewa na Kampuni hiyo jana ilieleza.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 108 imekodiwa kutoka katika kampuni ya Aero Vista iliyopo nchini Dubai na tayari imeshafanyiwa uchunguzi na timu ya wataalam kutoka katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) nchini Misri ilikoperekwa kwa ajili ya uchunguzi huo.
“Wataalam kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) wamekamilisha uchunguzi wa ndege ambayo kwa sasa ipo jijini Cairo, Misri na ndege itarejea nchini kwetu leo hii mchana.
“Ndege hiyo imeshawekwa chata ya Kampuni ya ATCL na baada ya kuwasili tunetegemea itaanza kufanya safari mara moja,” Taarifa hiyo ilisema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa ndege hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua abiria 12 kwenye daraja la kwanza (business class) pamoja na abiria 96 kwenye daraja la kawaida (economy class).
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Bw. Paul Chizi akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam wiki chache zilizopita alitoa maelezo kwa uchache juu ya ujio wa ndege hiyo lakini hakuweza kufafanua zaidi kuhusiana na ndege hiyo.
Chizi alisema kuwa mipango ya ujio wa ndege hiyo ilikuwa ni mipango ya muda mfupi iliyowekwa ili kuboresha huduma za ndege alisisitiza kuwa kampuni tayari ina mpango wa muda mrefu ambao utafanyiwa kazi kikamilifu.
ATCL hivikaribuni imezindua tovuti ikiwa katika jitihada za kuboresha huduma kwa wateja pamoja na kuongeza ubora wa ndege hiyo ya kitaifa.
Tovuti hiyo itawawezesha wateja kupata taarifa ya safari za ndege bila ya kufika katika ofisi za kampuni hiyo au mawakala na kuwawezesha wateja kutoa maoni yao kupitia mitandao ya kijami
 
Watajaza mizgo yao na ndugu zao kwenye ndege revenue passengers wataachwa....
 
hopefully they've learned a lesson through their previous blunders...
 
Ngoja Precision wasikie WATAIANGUSHA SASA HIVI ! hao jamaa Noma sana ! hao ndio wanahusika na ndege kuanguka anguka ili kuua mashirika hayo! ATC kaza buti hakika mkijipanga vizuri mtaweza, Kila la KHERI , na safari zote za serikali na mashirika ua umma inabidi mpewe nyie ili kuiinua shirika ! hapo ndio soo la precision linapoanza
 
ngoja precision wasikie wataiangusha sasa hivi ! Hao jamaa noma sana ! Hao ndio wanahusika na ndege kuanguka anguka ili kuua mashirika hayo! Atc kaza buti hakika mkijipanga vizuri mtaweza, kila la kheri , na safari zote za serikali na mashirika ua umma inabidi mpewe nyie ili kuiinua shirika ! Hapo ndio soo la precision linapoanza
wataimarika wakimshirikisha mungu na kuacha kwenda kwa waganga...hakika mungu anaweza na kuirudisha atcl ilipotoka kwa nia njema tu nasema hili
 
Ndege mpya ya ATCL kutua Dar leo mchana

Na Mwandishi Wetu

SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya Boeing 737-500 ambayo inatarajia kuwasili leo hii Mchana (Alhamisi) kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, taarifa iliyotolewa na Kampuni hiyo jana ilieleza.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 108 imekodiwa kutoka katika kampuni ya Aero Vista iliyopo nchini Dubai na tayari imeshafanyiwa uchunguzi na timu ya wataalam kutoka katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) nchini Misri ilikoperekwa kwa ajili ya uchunguzi huo.
"Wataalam kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) wamekamilisha uchunguzi wa ndege ambayo kwa sasa ipo jijini Cairo, Misri na ndege itarejea nchini kwetu leo hii mchana.
"Ndege hiyo imeshawekwa chata ya Kampuni ya ATCL na baada ya kuwasili tunetegemea itaanza kufanya safari mara moja," Taarifa hiyo ilisema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa ndege hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua abiria 12 kwenye daraja la kwanza (business class) pamoja na abiria 96 kwenye daraja la kawaida (economy class).
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Bw. Paul Chizi akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam wiki chache zilizopita alitoa maelezo kwa uchache juu ya ujio wa ndege hiyo lakini hakuweza kufafanua zaidi kuhusiana na ndege hiyo.
Chizi alisema kuwa mipango ya ujio wa ndege hiyo ilikuwa ni mipango ya muda mfupi iliyowekwa ili kuboresha huduma za ndege alisisitiza kuwa kampuni tayari ina mpango wa muda mrefu ambao utafanyiwa kazi kikamilifu.
ATCL hivikaribuni imezindua tovuti ikiwa katika jitihada za kuboresha huduma kwa wateja pamoja na kuongeza ubora wa ndege hiyo ya kitaifa.
Tovuti hiyo itawawezesha wateja kupata taarifa ya safari za ndege bila ya kufika katika ofisi za kampuni hiyo au mawakala na kuwawezesha wateja kutoa maoni yao kupitia mitandao ya kijami[/QUOTE]

Mpya au wamepaka rangi mpya tu?
 
watajaza mizgo yao na ndugu zao kwenye ndege revenue passengers wataachwa....
acha roho mbaya bana lini wamekuacha sema umechelewa ukakuta wamekwa non rev unapiga kelele tatizo la watanzania kulalamika..unawezaje kuja saa kumi ndege inaondoka na nusu unalalamika ndege za baba zenu ingekuwa hivyo si wote tungekuwa na ndege...
 
Imekodiwa kwa malipo yepi?tatizo kwenye pesa huwa siri.wananchi hatushirikishwi
 
wameekodisha tena ndege wakishinda kulipa watatoa bandari ipi? ya Tanga?

kuna milima ya udizungwa, kule tanga kuna yale machimbo ya marumaru, huko mtwara kuna gesi yaani hatutakosa sehemu ya kuwapa usitie shaka kiongozi tanzania ni nchi tajiri sana,
bado mbuga zetu zina wanyama wa kutosha wale twiga hawajaiha, safari hii hata tembo tutatoa kwani wamezaliana sana
 
Ndege mpya ya ATCL kutua Dar leo mchana

Na Mwandishi Wetu

SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya Boeing 737-500 ambayo inatarajia kuwasili leo hii Mchana (Alhamisi) kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, taarifa iliyotolewa na Kampuni hiyo jana ilieleza.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 108 imekodiwa kutoka katika kampuni ya Aero Vista iliyopo nchini Dubai na tayari imeshafanyiwa uchunguzi na timu ya wataalam kutoka katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) nchini Misri ilikoperekwa kwa ajili ya uchunguzi huo.
"Wataalam kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) wamekamilisha uchunguzi wa ndege ambayo kwa sasa ipo jijini Cairo, Misri na ndege itarejea nchini kwetu leo hii mchana.
"Ndege hiyo imeshawekwa chata ya Kampuni ya ATCL na baada ya kuwasili tunetegemea itaanza kufanya safari mara moja," Taarifa hiyo ilisema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa ndege hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua abiria 12 kwenye daraja la kwanza (business class) pamoja na abiria 96 kwenye daraja la kawaida (economy class).
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Bw. Paul Chizi akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam wiki chache zilizopita alitoa maelezo kwa uchache juu ya ujio wa ndege hiyo lakini hakuweza kufafanua zaidi kuhusiana na ndege hiyo.
Chizi alisema kuwa mipango ya ujio wa ndege hiyo ilikuwa ni mipango ya muda mfupi iliyowekwa ili kuboresha huduma za ndege alisisitiza kuwa kampuni tayari ina mpango wa muda mrefu ambao utafanyiwa kazi kikamilifu.
ATCL hivikaribuni imezindua tovuti ikiwa katika jitihada za kuboresha huduma kwa wateja pamoja na kuongeza ubora wa ndege hiyo ya kitaifa.
Tovuti hiyo itawawezesha wateja kupata taarifa ya safari za ndege bila ya kufika katika ofisi za kampuni hiyo au mawakala na kuwawezesha wateja kutoa maoni yao kupitia mitandao ya kijami

kama pesa za kununua ndege ya rais zipo, kwa nini tukose pesa za kununua ndege ya kufanya biashara na kuongeza ajira kwa watanzania?
 
Ndugu Zangu watanzania
Lazima ifike wakati serikalai ijue zumuni la kuipeleka atcl kuwa imara ni lao serikali na sisi watanzania kuwasapoti...nini maana yake
Hata kama walete ndege 6 serikali lazima ihakikishe kila mfanyakazi wa serikali anaeenda safari ndege ya ATCL inaenda lazima wakate atcl..hii ni fundisho kwa nchi nyingine za afrika na sishangai kuona kenya airways wako imara ni plan na startegy zinatakiwa na sio tu kusapoti kuleta ndege

-On time perfomance
Hili ni salwa muhimu hasa katika mambo ya airline,tumeona precission wanavyokimbiwa sababu ya kuchelewesha ndege zao ..kuwe na mikakati inapotokea dly basi iwe ya ulazima nikimaanisha techn na s vinginevyo else wahusika waliosababisha dly lazima wabebe misalaba yao...ni muhimu kuhakikisha unaondoa ndege before/on time na si vinginevyo
-Salary Motivation
Unaweza kuleta ndege hata 6 kama wafanyakazi wanafanya kazi kwa uchungu naamini ipo siku marubani watailaza hiyo ndege mwanza wakiwa wanawaza wake zao wanakula nini just kwa mawazo..so ni muhimu kuwajali wafanyakazi waliopo na si kuishia tu kutangaza tumepata faida hii ,,ile ..ni wakati muhimu kila mfanyakazi kuhisi umuhimu wa kufanya kazi kwenye ndege ya serikali ....
-Kupenda Kazi
Ni akati muafaka sasakila mfanyakazi kuipenda kazi yake na kujua atcl ipo kwa ajili yao..nadhani hili litasaidia kuiweka atcl imara hata kama kuna wakati wa kuichelewasha ndege inalazimika kutafuta kitu kingine cha kufanya kuiwahisha ndege ...na hili aliwezi kufanyika kama hayo juu ayatatokea mfanyakazi kuwezeshwa kimazingira ya kazi,mifukoni na hata kiroho pia....
--Proffessional workers
Ni wa kati sasa wa kuacha kuajiri waotot wa ndugu ama mjomba amabao awana sifa za kuitumikia atcl,,ifike wakati hata kama unaajiri mtoto wa mjomba ama shangazi awe na sifa zinazoitajika incase ikitokea lolote unajua wapi pa kusimama nako...tuajiri wale wenye sifa na sio kazi sifa....

Else nawatakia maisha mema na New atcl
 
March 29, 2012

Strategic Joint venture Agreement is being signed between Air Tanzania and AEROVISTA on 24th March 2012 in Dar es Salaam, Tanzania

Air Tanzania Corporation was established on 10 March 1977 after the breakup of East African Airways, which had previously served the region. Flights were started from Dar-es-Salaam using Boeing 737-200s and Fokker F27s.Presently they are operating with a fleet of 2 Bombardier Dash 8. The company is having excellent working knowledge in the Industry will grow in pace with the addition of B737-500 fleet. As IATA members, the airline is having inter-line agreements with all major airlines of the world.

The strategic joint venture agreement signed between the two airline companies focuses different hemisphere of the industry requirements such as

§ AEROVISTA will be leasing its B737-500 for Air Tanzania and will be sourcing more aircrafts depending upon the requirements in future.

§ AEROVISTA Engineering and Air Tanzania Aircraft Maintenance Facility will join to develop fully fledged hanger with line maintenance facility in Dar es salaam, Tanzania

§ AEROVISTA will be taking a lead in training the crew and engineers of Air Tanzania including cabin crew training for the B737CL aircrafts.

§ AEROVISTA and Air Tanzania will work closely to develop routes and offer better commercial solutions for an improved yield management and operational results.

AEROVISTA with its new identity in Tanzania “Aerovista Tanzania Limited “ will be exploring similar avenues in the aviation industry to support the small and medium airline. AEROVISTA is blessed by more than 100 years combined experience in the aviation and related industry.
 
Back
Top Bottom