Beware na huyu Jack Shoo wa Facebook na mitandao mingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beware na huyu Jack Shoo wa Facebook na mitandao mingine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ExpertBroker, May 10, 2012.

 1. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kuna dada mmoja mrembo anajiita Jack Shoo anajifanya graduate wa Makerere University, anawasiliana na wanaume tofauti na kujifanya ana matatizo kakwama mikoani mara Bukoba, mara Mwanza na kwingineko ali mradi awanase wale wanaume wadhaifu wa kutoa tu pesa baada ya kusikia sauti ya kike, lakini pia picha zake alizoweka Facebook zinavutia sana!

  Kwangu kachemsha kwani aliniambia yuko Bukoba mjini ati alienda kwa msiba wa rafiki yake ila kaibiwa, nikamwambia msiba ulikuwa wilaya gani, hajui, kijiji gani akabaki kujiumauma! Alichochemsha kingine ati kaibiwa siku ile ile ya kusafiri, kwenye saa nne asubuhina alikuwa aje na basi siku ile, but mabasi yanaondoka alfajiri! Nilimhoji maswali kibao nikamgundua ni tapeli, japo yeye hakujua kama nimemstukia! Baadae nilimwambia kuna jamaa wana mabasi huko ngoja niwapigie wakupe ticket, daah, aliruka viunzi ati anataka cash! Baada ya kuwaeleza rafiki zangu wengine Facebook nikagundua kwamba kashawasiliana na watu wengine kibao but wanamstukia kwani utapeli wake ni old skuli!

  Nimeleta kisanga hiki hapa jamvini ili kuwa-alert msije mkapigwa wadau, BEWARE JACK SHOO
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,284
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  huyu binti lazima atakua mchaga!akina shoo
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,910
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  I hate FaceBook!
   
 4. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huenda si jina lake pia! But huenda ni group la watu na hao wanaomtumia ndio bila shaka wamependekeza hilo jina
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,907
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Du ajira mil1 za baba iriz moja.
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  mimi katoka kunitumia Ujumbe huu sasa hivi Jack Bana
  [​IMG]
   
 7. K

  KISWAHILI Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weka link
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  na huyu Hapa ndio Jack Mwenyewe

  [​IMG]
   
 9. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe naona mshakuwa wapenzi hadi umem-save Darling!
   
 10. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa huyu ndiye anayejiita Jack Shoo! Japo nimeambiwa pia kwamba hizi picha ni za dada wa kiganda anazitumia si za kwake!
   
 11. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,476
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Tatizo mnapenda kutongozana sana huko kwenye hizo fcbk zenu,sasa ngoja mpigwe ndio matatia akili!
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,720
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  utoto tu huo,siendagi huko facebook mimi
   
 13. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,026
  Likes Received: 1,093
  Trophy Points: 280
  kama ni yeye acha awaibie Jamani Kajaliwa kinoma
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,456
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Facebook ina mambo...!
   
 15. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Duh. Kitu! Nashawishika nimjazie mafuta
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  haiwezekani dada mzuri hivi halafu TP inavunja moyo kupenda...
   
 17. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,302
  Likes Received: 1,085
  Trophy Points: 280
  mwambien kaanikwa huku, na ikiwezekana mfill kwenye wall yake hz coments zote, xo zikopin na kuzipaste kwnye wall ake ajue tumejua....
   
 18. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  j2.jpg j2.jpg j2.jpg j2.jpg
   
 19. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  j1.jpg j1.jpg j1.jpg
   
 20. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  j3.jpg j3.jpg j3.jpg j3.jpg j3.jpg
   
Loading...