Msaada please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada please

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mohammed Shossi, May 10, 2012.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Habari zenu wadau wa JF,

  Nafahamu humu JF kuna watu wa kada mbali mbali na wanaweza kunisaidia kujua taratibu gani zinatakiwa kufuata unapoagiza mbegu kutoka nje ya nchi.

  Nahitaji kuagiza mbegu za papai kutoka nje ambazo ni tolerant na ugongwa wa ring spot unaosumbua sana kwa sasa hapa nchini na nafahamu kuwa nchi yetu hairuhusu uingizaji wa mbegu ila kwa ruhusa kutoka ofisi husika.

  Naomba nisaidiwe kwenye kama kuna mtu anaejua ni ofisi gani inahusika na kutoa ruhusa ya kuagiza mbegu nchini na procedures zake ikibidi na contacts zao.

  Ahsanteni sana.

  Mdau wa Kilimo Kwanza.

  Mohammed
  .
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  mkuu ...ungepelekahii post kule kwenye ujasiriamali sub forum ya business and economy ...jamaa wangekusaidia sana ... hata mimi ninge-dessa hapo
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,476
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuwaona jamaa wanaitwa ASA(Agricultural Seed Agency), hawa wanapatikana Morogoro au TOSC(sina hakika na spelling) hawa wanahusika na mambo ya seed certification. Nahisi wanaweza wakawa na taarifa unazozihitaji. Au unaweza kwenda pale wizara ya kilimo kupata taarifa zaidi.
   
 4. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hawa wa Morogoro wanaitwa Tanzania Seeds Agency wana tawi Lushoto njia ya kwenda magamba. Hawa jamaa wana deal na mbegu za miti kama Tiki, Mininga na aina ya miti ya asili. Sidhani kama hawa jamaa wana deal na mbegu kwa ajili ya mazao ya biashara kama alizeti, ufuta nk.

  Shukrani hata hivyo nitajaribu kwenda wizarani unadhani nitafanyaje? nimejaribu kuangalia website yao haina maelezo kuntu kama haya ninayoyahitaji! Kilimo kwanza kigumu sana inabidi tukazane kwenye elimu kwanza tuelimike ndio tutaweza kumudu kilimo kwanza kwa kutoa elimu inayohitajika kupitia mitandao ya wizara husika.
   
 5. l

  livingafrican Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  jaribu TFA,kama hawana watakueleza cha kufanya
   
 6. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,387
  Likes Received: 777
  Trophy Points: 280
  Nenda pale Morogor Kwa wakala wa mbegu
  au pale SUA Crop Science Dept muone prof Mabagala Atakusaidia sana
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  TFA kwa Dar wana ofisi sehemu gani?
   
Loading...