39 wahojiwa - mauaji ya chuo kikuu cha sauti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

39 wahojiwa - mauaji ya chuo kikuu cha sauti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpekuz2009, May 11, 2012.

 1. m

  mpekuz2009 New Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  POLISI mkoani Mwanza inawashikilia watu 39 waliokamatwa katika msako uliofanyika maeneo ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine(Saut) kwa mahojiano juu ya mauaji ya utata yaliyotokea katika hosteli za wanafunzi wa chuo hicho.

  Mauaji hayo yalitokea kati ya Machi 9 hadi Mei 4, mwaka huu ambapo watu sita akiwemo mwanafunzi wa Saut waliuawa na watu wasiojulikana na wengine miili yao kuchomwa moto.

  Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Deusdedit Nsimeki alisema msako huo ulianza mwishoni mwa wiki iliyopita na kwamba watuhumiwa hao wanafanyiwa mahojiano ili kuwabaini walioshiriki kwenye vitendo vya mauaji.


  FULL STORY
   
 2. b

  bogota the king Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kwani walinzi wa jadi AKA Sungu sungu wamehama huko Mwanza?
   
Loading...