Tathmini: Utendaji wa ma-dc waliowahi kuwepo

Shoo Gap

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
246
71
Tunapoendele kutafakari waliotangazwa kuwa Wakuu wa Wilaya, ningependa kupata kumbukumbu za DC yeyote aliyewahi kufanya jambo/mambo ya kuigwa/kukumbukwa katika Wilaya yeyote Tz. Taja jina lake, Wilaya aliyokuwa akiongoza, Jambo/mambo ya kutukuka aliyofanya, ikiwezekana kama yupo hai yupo wapi sasa na anafanya nini.

LENGO: Kujifunza kwa waliotangulia na kuiga yale mazuri waliyotenda. Enzi za utawala wa Kiingereza tittle ya DC ilikuwa inaheshimika mno na walikuwa na power kubwa sana tofauti na ilivyo sasa hivi.
 
Back
Top Bottom