Maji safi ya chupa yamekwisha muda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji safi ya chupa yamekwisha muda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by O-man, May 10, 2012.

 1. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Maji ya chupa ya Penguin na Pangani inasemekana ni salama lakini lable zinatoa mwelekeo tofauti. Moja inaonesha tarehe ya kwisha muda ni Dec. 2010 na nyingine inaonesha Jan. 2012. Katika mahojiano na mmoja wa wauzaji wa jumla ni kwamba hilo ameliona na wakahoji kiwandani. Majibu ya kiwandani ni kwamba lebo hizo zipo nyingi na hawawezi kuzitupa. Kiwanda kinasema wameingia makubaliano naTBS watumie hizo lebo. Kwa kuthibitisha zaidi, muuzaji huyo anadai kwamba anapofuata maji hapo kiwandani inabidi asubiri uzalishaji hapo hapo. Tetesi zinaeleza kwamba kiwanda kinachozalisha Penguin kilisimamisha uzalishaji baada ya wamiliki kutoelewana na hatimaye kuzaliwa kiwanda cha Pangani. Sielewi hapa nimuamini nani, maelezo ya muuzaji au lebo za kwenye chupa hizi.
   
Loading...