dosama
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 912
- 957
Nchi hii mie sielewi kabisa mie Dogo alikuwa sawa kabisa haiwezekani mie nizalishe sana hapa Mwadui Almasi then zikajenge fly over Dar, wa Tanga azalishe chai akajenge bandari Dar, Kidatu nizalishe umeme ukawashe Dar mie nipo gizani. Bunge lipo Dodoma wizara zipo Dar, mbunge wangu wa Bumburi ofisi zake ziko Dar nk nk..........
Kwa nini kila kitu Dar es salaam sie mnaotuita wa mikoani tumelaaniwa????
Ni bora utoe shukrani kwa kuniachia hata nusu niendelee vyote mnapeleka Dar.
Nasaari kaona bora tubaki navyo tuone tatizo ni nini sisi wananchi au kuna mchwa anatafuna hapa katikati